TIBA YA SARATANI YA MATITI - 5
![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q2ye0vJp*I4tX18bQBsChUhARDWjCqg-UI4znpGJnC4zDDbqimj0MqJfb4V*RVAP0a*rhGdrVA2DQGrbUpjyXes/breastcancerillustrations.jpg?width=650)
Tunaendelea kuwaletea tiba ya saratani ya matiti baada ya kuelezea ile ya upasuaji. Endelea. KEMIKALI MAALUM Ugonjwa wa saratani ya matiti pia hutibiwa kwa njia ya dawa au Systemic theraphy. Tiba ya aina hii inahusisha matumizi ya kemikali maalum za kutibu saratani au Chemotherapy pamoja na kutumia homoni au Hormonal therapy. Tiba kwa kutumia homoni, hufanywa ili kuua seli za saratani ambazo hazikugundulika hapo awali na ambazo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcI0YEtgzzWn*zx--o1MPswimx17Fag4fwCs4N-lpVrfU1jkNT088pQ4j16Hw*8CCcaGznDmq8kKjC0VFMFdCz0o/cancer3.jpg?width=650)
TIBA YA SARATANI YA MATITI - 4
10 years ago
Michuzi09 Sep
RUGEMALIRA KUJENGA KITUO KIKUBWA CHA TIBA YA SARATANI YA MATITI BUKOBA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QXIIoSI6nbc/U5SbiZp5oWI/AAAAAAAFpAY/h9YIonXjV80/s72-c/tbr7.jpg)
Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora
![](http://4.bp.blogspot.com/-QXIIoSI6nbc/U5SbiZp5oWI/AAAAAAAFpAY/h9YIonXjV80/s1600/tbr7.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-CiBi1_fdBOQ/U5SbxpbgT_I/AAAAAAAFpAk/1cQtJRg3LiU/s1600/tbr8.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-iYYrbJWmS3w/U5SbxuiQx2I/AAAAAAAFpAg/F-uVi2Fi9p8/s1600/tbr6.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Vr2pW1Irbog/U5ScG76Ga6I/AAAAAAAFpAw/CFLGEbAxZCI/s1600/tbr1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-d1HDHIIyWTE/U5ScuHNl9aI/AAAAAAAFpBI/E1RtH2vHR1o/s1600/tbr5.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Uchunguzi saratani ya matiti bure
HOSPITALI ya Aga Khan (AKH), jijini Dar es Salaam imesema itakuwa ikiendesha kambi ya huduma ya bure ya uchunguzi wa saratani ya matiti kila mwezi. Hayo yalibainishwa juzi na Mkurugenzi wa...
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Saratani ya matiti huweza kuepukika
11 years ago
Habarileo10 Mar
Wenye dalili za saratani ya matiti waaswa
TAASISI ya Saratani ya Matiti nchini (TBCF) imewataka Watanzania kwenda haraka hospitali, kupima wanapoona dalili za ugonjwa huo kwa kuwa unaweza kutibika, iwapo utagunduliwa ukiwa katika hatua za awali.
10 years ago
Habarileo07 Dec
Wanawake 1,000 wapima saratani ya matiti
WANAWAKE zaidi ya 1,000, wamejitokeza kupimwa saratani ya matiti bure katika miezi minne ya kampeni inayoendeshwa na Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam.
9 years ago
Dewji Blog11 Oct
Tigo yashiriki matembezi ya kuchangia saratani ya matiti
Afisa huduma kwa jamii wa Kampuni ya Tigo, May Thomas (kulia) akishiriki matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti kwa akinamama yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo Dar es Salam jana.
Washiriki wa matembezi ya hisani ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti kwa akinamama yaliyodhaminiwa na kampuni ya Tigo jijini Dar es Salam jana.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Saratani ya kizazi, matiti tishio kwa wanawakeÂ
IMEBAINIKA kuwa saratani ya kizazi na matiti imezidi kuwa tishio kwa wanawake nchini. Hayo yalibainishwa na Dk. Aldina Amyria wa Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salaam alipofanya...