Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenye dalili za saratani ya matiti waaswa

Angela KuzilwaTAASISI ya Saratani ya Matiti nchini (TBCF) imewataka Watanzania kwenda haraka hospitali, kupima wanapoona dalili za ugonjwa huo kwa kuwa unaweza kutibika, iwapo utagunduliwa ukiwa katika hatua za awali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

11 years ago

GPL

DALILI ZA KANSA YA MATITI(BREAST CANCER) - 3

Wiki mbili tumekuwa tukichambua ugonjwa wa kansa ya titi, leo tunaeleza dalili za maradhi haya.
Nijua kuwa wanawake wengi wanajiuliza ni zipi dalili za saratani ya matiti? Dalili ya awali inayoweza kutambulisha saratani ya matiti ni kuwepo kwa uvimbe kwenye titi ambao huwa na hali tofauti na sehemu nyingine za titi. Hata hivyo, si kila uvimbe kwenye titi unaashiria uwepo wa saratani ya matiti. Uvimbe huu huwa mgumu,...

 

11 years ago

GPL

TIBA YA SARATANI YA MATITI - 5

Tunaendelea kuwaletea tiba ya saratani ya matiti baada ya kuelezea ile ya upasuaji. Endelea. KEMIKALI MAALUM
Ugonjwa wa saratani ya matiti pia hutibiwa kwa njia ya dawa au Systemic theraphy. Tiba ya aina hii inahusisha matumizi ya kemikali maalum za kutibu saratani au Chemotherapy pamoja na kutumia homoni au Hormonal therapy. Tiba kwa kutumia homoni, hufanywa ili kuua seli za saratani ambazo hazikugundulika hapo awali na ambazo...

 

11 years ago

GPL

TIBA YA SARATANI YA MATITI - 4

Tunaendelea kujadili ugonjwa wa kansa au saratani ya matiti, ambapo leo tutaanza kuzungumzia tiba ya ugonjwa huo. Kuna aina tofauti za tiba kwa wagonjwa wanaousumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya matiti. Baadhi ya tiba hizo tayari zinatumika rasmi na nyingine zinafanyiwa majaribio. Matibabu ya majaribio au Treatment clinical trials ni uchunguzi wa kitiba unaofanyika kwa lengo la kusaidia kuboresha tiba zilizoko au kwa ajili ya kupata...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uchunguzi saratani ya matiti bure

HOSPITALI  ya Aga Khan (AKH), jijini Dar es Salaam imesema itakuwa ikiendesha  kambi ya huduma ya bure ya uchunguzi wa saratani ya matiti kila mwezi. Hayo yalibainishwa juzi na Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Saratani ya matiti huweza kuepukika

Saratani ya Matiti inaweza kuepukwa ikiwa wanawake watajenga tabia ya kujichunguza

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Saratani Duniani na Watoto wenye Saratani Hospitali ya Taifa Muhimbili


exim1 Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim, Bi. Elizabeth Mayengoh, akikabidhi vitabu kwa mmoja wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenye wodi maalum ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika kuadhimisha siku ya saratani duniani. Wanaoshudia ni baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim na wazazi wa watoto hao. Benki hiyo ilikabidhi vifaa mbalimbali vikiwemo vyakula, vifaa vya kuchezea, sabuni, vifaa vya shule nk, lengo likiwa ni kujenga...

 

11 years ago

GPL

DALILI ZA SARATANI YA KIZAZI

Saratani ya kansa huwa na dalili zake za awali ambazo tutakuja kuziona. Tunapozungumzia saratani ya kizazi tunalenga zaidi saratani ya shingo ya uzazi ‘Carcionoma of Cerix’ na saratani ya mfumo wa uzazi au ‘Endometrial Carcinoma. Saratani ya mfuko wa kizazi hushambulia zaidi tabaka la ndani la kizazi ‘Endometrium’ na kusababisha maumivu ya tumbo kwa muda mrefu na hata tumbo kuvimba. Saratani hii...

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake 1,000 wapima saratani ya matiti

WANAWAKE zaidi ya 1,000, wamejitokeza kupimwa saratani ya matiti bure katika miezi minne ya kampeni inayoendeshwa na Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani