Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACACIA YAFANYA BONANZA KAMAMBE LA KIFAMILIA DAR


Mtoto huyu wa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, akichapa maji wakati wa kuogelea ikiwa ni sehemu ya furaha ya wafanyakazi na familia zao kujumuika pamoja kwenye ufukwe wa Azura jijini Dar es Salaam, Jumamosi jioni. Katika sherehe hiyo, watoto na familia zao walipata fursa ya kushiriki michezo tofauti tofauti, kama vile mbio za kufukuza kuku, wanaume kukuna nazi, kuvuta kamba, soka la beach, netiboli au kwa kikwetu, mpira wa pete, Voliboli na pool table. Hali...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NHIF yafanya afya bonanza katika Wilaya ya Temeke,jijini Dar

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema akihutubia wananchi wa Manispaa hiyo (hawapo pichani) katika uzinduzi wa Afya Bonanza linalofanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa kupima afya bure wananchi kwenye viwanja vya Mwembe Yanga. Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Hamis Mdee akitoa maelezo ya utangulizi kwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bonanza hilo. Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akizindua rasmi zoezi la upimaji afya.  Bi. Sophia Mjema naye akipima...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) yafanya Bonanza la Nanenane mkoani Lindi

1

Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Bi. Miriam Mtima akizungumza wakati wa kufungua bonanza la Nanenane lilioandaliwa na benki ya Maendeleo ya Wakulima (TADB), jana mkoani Lindi.

2

Mkurugenzi wa Mikopo wa benki ya Maendeleo ya Wakulima, Bwana Robert Paschal akitoa hotuba ya ufunguzi wakati wa uzinduzi wa bonanza la Nanenane katika viwanja vya Ilulu mkoani Lindi jana.

4

Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Bi Miriam Mtima akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa bonanza la...

 

10 years ago

Michuzi

TOYOTA YAFANYA BONANZA MAALUMU LA KUWAPONGEZA WAFANYAKAZI WAKE, WANAUME WACHUANA KUKUNA NAZI

 Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, juzi Agosti 23, 2014. Katika Bonanza hilo timu ya Rav 4 iliibuka mshindi wa jumla katika michezo yote iliyochezwa ikifuatiwa na timu ya Hilux, VX na Prado.  Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la...

 

10 years ago

Michuzi

ACACIA HONOURS IT'S DAR OFFICE EMPLOYEES FOR LONG SERVICE

ACACIA has been operating in Tanzania for over a decade and during that time the company has made a significant progress in mining industry in the country. To value this achievements, in the beginning of this year 2015, Acacia has recognized it's employees by rewarding them, some for long service and others for their outstanding performance under the company's six desired behaviors' culture.
All team members are exposed to a unique world class Cultural Transformation Programme, called...

 

11 years ago

GPL

DAR LIVE BONANZA LILIVYOTINGISHA MBAGALA JIJINI DAR

Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS) kutoka PSPF, Mwanjaa Sembe akikabidhi zawadi ya jezi kwa mwakilishi wa timu ya mpira wa miguu ya Wadau. Mjumbe wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Olivia Sanare akikabidhi zawadi ya jezi kwa niaba ya mgeni rasmi.…

 

11 years ago

GPL

BONANZA LA JOGGING DAR LIVE LAFANA

Mhe. Angela Kizigha na Mhe. Faustine Ndugulile wakifanya mazoezi na klabu mwenyeji wa bonanza hilo, Magenge 20. Mgeni Rasmi ambaye ni Mbunge katika Bunge la Afrika Mashariki, Mh Angella Kizigha akiongea na wanajogging wa bonanza hilo.…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: DAR LIVE BONANZA LILIVYOFUNIKA

Global TV Online inakuletea matukio ya Dar Live Bonanza lililofanyika jana Jumapili, Machi 2 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live na kushirikisha klabu mbalimbali za Jogging jijini Dar.

 

10 years ago

Michuzi

TBL yadhamini Bonanza la Michezo jijini Dar


 Meneja Matukio wa TBL mkoa wa Dar es salaam, Zozimick Kimati (kushoto) akikabidhi sehemu ya jezi kwa Bw. Hamis Mwango, zilizotumiwa na timu mbali mbali zilizoshiriki kwenye Bonanza la Michezo lililodhaminiwa na TBL, ikiwa ni sehemu ya kuendeleza michezo nchini.  Meneja Matukio wa TBL mkoa wa Dar es salaam, Zozimick Kimati (kati) akizungumza jambo na uongozi wa Timu ya Mshikamano Veterans kabla ya kuingia uwanjani kukipiga na timu ya Uhuru veterans. Kikosi cha Makabe Veterans wakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani