Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TOYOTA YAFANYA BONANZA MAALUMU LA KUWAPONGEZA WAFANYAKAZI WAKE, WANAUME WACHUANA KUKUNA NAZI

 Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, juzi Agosti 23, 2014. Katika Bonanza hilo timu ya Rav 4 iliibuka mshindi wa jumla katika michezo yote iliyochezwa ikifuatiwa na timu ya Hilux, VX na Prado.  Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TOYOTA TANZANIA YAWATUNUKU WAFANYAKAZI WAKE BORA

Meneja wa Karakana wa Kampuni ya Toyota Tanzania Ltd, Josee Alverace (kushoto) na Mwenyekiti wa Toyota Tanzania, Mahmoud Karimjee (katikati) wakimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa jumla, Maria Robi wa Toyota Mwanza, wakati wa hafla maalum ya 12 ya kuwapongeza na kuwatunukia wafanyakazi bora wa mwaka 2014 wa Kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ofisi za Toyota zilizopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam.  ...

 

10 years ago

Vijimambo

TOYOTA TANZANIA YAWATUNUKU WAFANYAKAZI WAKE BORA, MMOJA ALAMBA TIKETI YA KWENDA JAPAN

Meneja wa Karakana wa Kampuni ya Toyota Tanzania Ltd, Josee Alverace (kushoto) na Mwenyekiti wa Toyota Tanzania, Mahmoud Karimjee (katikati) wakimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa jumla, Maria Robi wa Toyota Mwanza, wakati wa hafla maalum ya 12 ya kuwapongeza na kuwatunukia wafanyakazi bora wa mwaka 2014 wa Kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ofisi za Toyota zilizopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Washindi wakipokea zawadi zao...wakati wa hafla hiyo....Mgeni...

 

10 years ago

Dewji Blog

TOYOTA Tanzania yawatunuku wafanyakazi wake bora, watatu walamba tiketi za kwenda Japan

National Service Manager wa Kampuni ya Toyota Tanzania Ltd, Jose Alvares (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Toyota Tanzania, Mahmood Karimjee (katikati) wakimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa jumla, Maria Robi, kutoka Wakala wa Toyota Ltd, Patel Trading Ltd ya Jijini Mwanza, wakati wa Sherehe ya ‘Toyota Skills Contest’ na hafla maalum ya 12 ya kuwapongeza na kuwatunukia wafanyakazi bora wa mwaka 2014 wa Kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ofisi za Toyota zilizopo Barabara...

 

10 years ago

Michuzi

Engen Tanzania yawakutanisha wafanyakazi wake pamoja katika Bonanza la Kumaliza Mwaka

Sehemu ya Wafanyakazi wa kampuni ya mafuta ya Engen Tanzania wakijadiliana jambo kabla ya kuanza mtanange wao katika Bonanza la kusherehekea kumaliza mwaka 2014,lililofanyika mwishoni mwa wiki katika Sunrise,Kigamboni jijini Dar es Salaam.Wafanyakazi wa kampuni ya mafuta ya engen wakiendelea kuonesha vipaji vyao vingine kwenye sherehe ya kumaliza mwaka.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUWAPONGEZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA MJINI DODOMA

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda wakijumuika pamoja katika kulisakata rumba kwenye tafrija ya kukaribishwa kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.   Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa na Mke wa Mbunge wa Mpendae Mama Tamima Turky wakionyesha manjonjo yao katika mduara wa tafrija ya kuwakaribisha wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wa CCM.  Raha iliyoje kwa Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda Kushoto, Mke...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yaendesha program maalumu kwa watoto wa wafanyakazi wake

Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel imeeandaa na kuendesha program maalum inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku.  Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi wa Rasilimali watu Patrick Foya alisema”Wakati ni sasa kuwafunza watoto mambo mbalimbali yanayoendana na tecknologia ya karne hii, tunaamini ni muhimu kuwafunza kwa vitendo watoto wetu mambo...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAENDESHA PROGRAM MAALUMU KWA WATOTO WA WAFANYAKAZI WAKE‏

Afisa Rasilimali wa watu, Mubaraka Kibarabara (wa tatu kushoto), akiwafunza watoto ,wakati wa program maalum ya Airtel inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku. Mkurugenzi wa mtandao wa Airtel Tanzania, Franky Filman, akimfundisha mtoto jinsi ya kutumia mashine ya kutoa copy wakati wa program...

 

10 years ago

Vijimambo

ACACIA YAFANYA BONANZA KAMAMBE LA KIFAMILIA DAR


Mtoto huyu wa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, akichapa maji wakati wa kuogelea ikiwa ni sehemu ya furaha ya wafanyakazi na familia zao kujumuika pamoja kwenye ufukwe wa Azura jijini Dar es Salaam, Jumamosi jioni. Katika sherehe hiyo, watoto na familia zao walipata fursa ya kushiriki michezo tofauti tofauti, kama vile mbio za kufukuza kuku, wanaume kukuna nazi, kuvuta kamba, soka la beach, netiboli au kwa kikwetu, mpira wa pete, Voliboli na pool table. Hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani