Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAFLA YA KUWAPONGEZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA MJINI DODOMA

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda wakijumuika pamoja katika kulisakata rumba kwenye tafrija ya kukaribishwa kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.   Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa na Mke wa Mbunge wa Mpendae Mama Tamima Turky wakionyesha manjonjo yao katika mduara wa tafrija ya kuwakaribisha wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wa CCM.  Raha iliyoje kwa Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda Kushoto, Mke...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

pinda akiwa na wajumbe wa bunge maalumu la katiba mjini dodoma leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Mhe. Saidi Mohamed Mtunda (katikati) na Mhe. Subira Mgalu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wajumbe wa  Bunge Maalum la Katika kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mhe. Dominick Lyamchay, Mhe. Rashid Mtuta, Mhe. Consitantine Akitanda na  Mhe. Fahmi Dovutwa. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

11 years ago

GPL

BUNGE MAALUMU LA KATIBA LAANZA MJINI DODOMA

BUNGE Maalumu la Katiba limeanza mkutano wake muda huu ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mjini Dodoma. Kwa sasa wajumbe wa bunge hilo wapo katika mchakato wa kumpata Mwenyekiti wa muda mwenye jukumu la kusimamia na kuongoza Bunge katika kusimamia uandaaji na upitishwaji wa Kanuni za Bunge pamoja na kuendesha uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu watakaopatikana siku ya Ijumaa. ...

 

11 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.  Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe Said Mtanda na wenzake  jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.   Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo...

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Mjumbe wa Bunge la Katiba na Mwenyekiti wa Timu ya Simba Ismail Aden Rage akiwaonyesha wajumbe wa Bunge hilo Kadi ya ATM kupitia Benki ya Posta inayotumiwa na wanachama wa Simba. Wengine ni Richard Ndasa(kulia), Khalifa Suleman Khalifa (wa pili kushoto) naMurtaza Mangunga(kushoto). Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomas Kashililah (kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge la Katiba William Lukuvi(kulia) . Mjumbe wa Bunge la Katiba Joshua Nasari(kulia)...

 

11 years ago

Michuzi

wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakutana mjini Dodoma

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Suzan Lyimo(kulia) wakibadlishana mawazo  mjini Dodoma wakati wa semina kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba inaliyoandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform yenye lengo la kuwaelimisha juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.  Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Anna Abdallah (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa kwa wajumbe...

 

11 years ago

Michuzi

Hotuba Ya Rais Kikwete Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba,Mjini Dodoma Leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia na kuzindua Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo jioni,Kulia ni Rais wa Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein na Katikati ni Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani