BONANZA LA JOGGING DAR LIVE LAFANA
Mhe. Angela Kizigha na Mhe. Faustine Ndugulile wakifanya mazoezi na klabu mwenyeji wa bonanza hilo, Magenge 20. Mgeni Rasmi ambaye ni Mbunge katika Bunge la Afrika Mashariki, Mh Angella Kizigha akiongea na wanajogging wa bonanza hilo.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS LAFANA NDANI YA DAR LIVE
Washiriki, wakimalizia mbio zao kutokea Uwanja wa Taifa mpaka Ukumbi wa taifa wa Burudani wa Dar Live. Klabu mwenyeji, Kejo Community wakiwa jukwaani wakicheza kwa furaha katika Bonanza hilo.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxgTrYw8IcnyYBBFXXFgeOlr6t*OYxIhyXx0TkbIw4zQmxi-4zO8P7i9gP7Z2OEAQgUuWzvpdW-nDE37N7UGFgL9r3HItlx1/extra.jpg?width=650)
EXTRA BONGO KUPAMBA BONANZA LA JOGGING KESHO DAR LIVE
KWA wale wapenda michezo wote, kesho watakutana katika bonanza kubwa la Jogging litakalorindima ndani ya Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar kwa kushirikisha michezo mbalimbali pamoja na shoo baab’kubwa kutoka kwa Ally Choki na Kundi la Wakali Dancers. Bonanza hilo limeandaliwa na kampuni ya Red Bull kwa kushirikiana na Benson and Dunhill Cigaratte na Sayona Pure Drinking Water ambapo lengo lake ni kuukaribisha mwaka...
11 years ago
GPLPSPF, ACB KUDHAMINI BONANZA LA JOGGING DAR LIVE JUMAPILI HII
Meneja Masoko wa Global Publishers, Innocent Mafuru (kushoto) akiwatambulisha wageni waliofika ofisi za Global Publishers kuelezea maandalizi ya Bonanza la Jogging litakalofanyika Dar Live Jumapili hii. Kutoka kushoto ni waratibu wa Bonanza la Dar Live, Rajab Mteta 'KP', Mshauri Barandu wakiwa na Mkuu wa Masoko wa Akiba Commercial Bank (ACB), Innocent Ishengoma.… ...
11 years ago
GPL13 Feb
H. BABA AKIFANYA MAKAMUZI KWENYE BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS DAR LIVE
Msanii H.Baba akiwadatisha mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live juzi Jumapili kwenye Bonanza la Jogging & Global Breaking News! Kujiunga na Global Breaking News: Tuma GLOBAL kwenda 15788
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/G4QhErsz3t-lDkDxPIoghNzSx94oj6NlZwYltkcfo4RY0PTB5VSdA6YyNaDlmAxIlIMx0OyPr9PqtgLlw0zqPN8LKGpNImNz/msondo22.jpg?width=650)
MSONDO, H. BABA KUPAMBA BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS 15778 DAR LIVE
BENDI ya muziki wa dansi ya Msondo, wasanii nyota wa Bongo Fleva, H. Baba, Nay wa Mitego na Stamina wanatarajia kulipamba Bonanza la Jogging la Global Breaking News 15778 litakalofanyika katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar, Februari 9 mwaka huu. Mratibu wa Bonanza hilo, Rajabu Mteta (KP) ameiambia Mikito Nusunusu kuwa kabla ya wasanii hao kupanda jukwaani kuanzia asubuhi hadi jioni, kutakuwa na jogging...
11 years ago
GPLMBUNGE FAUSTINE NDUGULILE AKIKABIDHI TUZO KWA WASHINDI WA BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS DAR LIVE
Mgeni rasmi kwenye Bonanza la Jogging & Global Breaking News, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile, akiwa tayari kukabidhi tuzo kwa washindi wa bonanza hilo ndani ya Dar Live.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-7CJwpLTMbrBx8UukS-NldM5vH723W8jWqyT87UIqsi8uWrvUisfeLpub8T6nNl3Q1StXn0SrJ7o0H-ogZkMced/bonanza.jpg?width=650)
BONANZA LA JOGGING & BREAKING NEWS… MBIO ZA HISTORIA KUFANYIKA DAR!
MBIO za historia! Jiji la Dar es Salaam linatarajia kuiandika historia ya aina yake kwa kuzikutanisha timu zaidi ya 200 za mbio za taratibu (jogging) katika Bonanza la Jogging na Breaking News 15778, Februari 9, mwaka huu kuanzia Uwanja wa Taifa hadi Mbagala-Zakhem jijini Dar. Kwa mujibu wa Rajabu Mteta (KP) ambaye ni mratibu wa bonanza hilo, timu hizo zitachuana vilivyo katika bonanza hilo ambalo litasheheni michezo mingi...
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-6srPbZUgeew/VGdMmaaV-zI/AAAAAAAGxeE/xfVqyozq4yo/s1600/76.jpg?width=650)
BONANZA LA UFUNGUZI WA WIKI YA MLIPA KODI YA TRA LAFANA JIJINI DAR
Mgeni rasmi kwenye Bonanza la Ufunguzi wa Wiki ya Mlipa Kodi ambaye ni Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Tiagi Masamaki akitoa nasaha zake kwa washiriki wa Bonanza hilo lililofanyika jana Novemba 15,2014 kwenye viwanja vya TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugeni wa Elimu na Huduma wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Allan Kiulla (kulia) akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mgeni...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania