BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS LAFANA NDANI YA DAR LIVE
Washiriki, wakimalizia mbio zao kutokea Uwanja wa Taifa mpaka Ukumbi wa taifa wa Burudani wa Dar Live. Klabu mwenyeji, Kejo Community wakiwa jukwaani wakicheza kwa furaha katika Bonanza hilo.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/G4QhErsz3t-lDkDxPIoghNzSx94oj6NlZwYltkcfo4RY0PTB5VSdA6YyNaDlmAxIlIMx0OyPr9PqtgLlw0zqPN8LKGpNImNz/msondo22.jpg?width=650)
MSONDO, H. BABA KUPAMBA BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS 15778 DAR LIVE
BENDI ya muziki wa dansi ya Msondo, wasanii nyota wa Bongo Fleva, H. Baba, Nay wa Mitego na Stamina wanatarajia kulipamba Bonanza la Jogging la Global Breaking News 15778 litakalofanyika katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar, Februari 9 mwaka huu. Mratibu wa Bonanza hilo, Rajabu Mteta (KP) ameiambia Mikito Nusunusu kuwa kabla ya wasanii hao kupanda jukwaani kuanzia asubuhi hadi jioni, kutakuwa na jogging...
11 years ago
GPL13 Feb
H. BABA AKIFANYA MAKAMUZI KWENYE BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS DAR LIVE
Msanii H.Baba akiwadatisha mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live juzi Jumapili kwenye Bonanza la Jogging & Global Breaking News! Kujiunga na Global Breaking News: Tuma GLOBAL kwenda 15788
11 years ago
GPLMBUNGE FAUSTINE NDUGULILE AKIKABIDHI TUZO KWA WASHINDI WA BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS DAR LIVE
Mgeni rasmi kwenye Bonanza la Jogging & Global Breaking News, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile, akiwa tayari kukabidhi tuzo kwa washindi wa bonanza hilo ndani ya Dar Live.…
11 years ago
GPLBONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS LAANZA
LILE Bonanza kubwa la Jogging na Global Breaking News 15778 tayari limeanza na vikundi mbalimbali vya jogging jijini Dar vinaelekea Uwanja wa Taifa ili kuanza mbio za jogging zitakazoishia Dar Live, Mbagala!
11 years ago
GPLBONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS FULL BURUDANI
'Nyomi' ya watu waliofurika kwenye Ukumbi wa burudani wa Dar Live wakati wa Bonanza la Jogging & Global Breaking News. Wachezaji wa netiboli wa timu ya Ndiyo Sisi (wenye jezi za kijani), wakiwania mpira mbele ya mchezaji wa Barack, katika Bonanza…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-7CJwpLTMbrBx8UukS-NldM5vH723W8jWqyT87UIqsi8uWrvUisfeLpub8T6nNl3Q1StXn0SrJ7o0H-ogZkMced/bonanza.jpg?width=650)
BONANZA LA JOGGING & BREAKING NEWS… MBIO ZA HISTORIA KUFANYIKA DAR!
MBIO za historia! Jiji la Dar es Salaam linatarajia kuiandika historia ya aina yake kwa kuzikutanisha timu zaidi ya 200 za mbio za taratibu (jogging) katika Bonanza la Jogging na Breaking News 15778, Februari 9, mwaka huu kuanzia Uwanja wa Taifa hadi Mbagala-Zakhem jijini Dar. Kwa mujibu wa Rajabu Mteta (KP) ambaye ni mratibu wa bonanza hilo, timu hizo zitachuana vilivyo katika bonanza hilo ambalo litasheheni michezo mingi...
11 years ago
GPLBONANZA LA JOGGING DAR LIVE LAFANA
Mhe. Angela Kizigha na Mhe. Faustine Ndugulile wakifanya mazoezi na klabu mwenyeji wa bonanza hilo, Magenge 20. Mgeni Rasmi ambaye ni Mbunge katika Bunge la Afrika Mashariki, Mh Angella Kizigha akiongea na wanajogging wa bonanza hilo.…
11 years ago
Michuzi05 Feb
GLOBAL BREAKING, TAMASHA LA JOGGING WAAHIDI MAKUBWA DAR LIVE J’PILI HII
Mambo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania