Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL TV ONLINE: DAR LIVE BONANZA LILIVYOFUNIKA

Global TV Online inakuletea matukio ya Dar Live Bonanza lililofanyika jana Jumapili, Machi 2 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live na kushirikisha klabu mbalimbali za Jogging jijini Dar.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS LAFANA NDANI YA DAR LIVE

Washiriki, wakimalizia mbio zao kutokea Uwanja wa Taifa mpaka Ukumbi wa taifa wa Burudani wa Dar Live. Klabu mwenyeji, Kejo Community wakiwa jukwaani wakicheza kwa furaha katika Bonanza hilo.…

 

9 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: WIZKID LIVE IN DAR

MWANAMUZIKI mahiri kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu kama Wizkid ametua nchini usiku huu tayari kwa onyesho lake litakalofanyika hapo baadaye kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

MSONDO, H. BABA KUPAMBA BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS 15778 DAR LIVE

BENDI ya muziki wa dansi ya Msondo, wasanii nyota wa Bongo Fleva, H. Baba, Nay wa Mitego na Stamina wanatarajia kulipamba Bonanza la Jogging la Global Breaking News 15778 litakalofanyika katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar, Februari 9 mwaka huu. Mratibu wa Bonanza hilo, Rajabu Mteta (KP) ameiambia Mikito Nusunusu  kuwa kabla ya wasanii hao kupanda jukwaani kuanzia asubuhi hadi jioni, kutakuwa na jogging...

 

11 years ago

GPL

H. BABA AKIFANYA MAKAMUZI KWENYE BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS DAR LIVE

Msanii H.Baba akiwadatisha mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live juzi Jumapili kwenye Bonanza la Jogging & Global Breaking News! Kujiunga na Global Breaking News: Tuma GLOBAL kwenda 15788

 

10 years ago

Vijimambo

GLOBAL TV ONLINE :SHUHUDIATAMASHA LA WAUZA MAGAZETI DAR LIVE LILIVYOFANA


KAMPUNI ya Global Publishers ambayo ni wachapishaji wa Magazeti ya Amani, Uwazi, Championi, Risasi, Ijumaa, Uwazi Mizengwe na Ijumaa Wikienda, Jumapili iliyopita iliwafanyia bonge la sherehe wauzaji wa magazeti na mawakala wao ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo akizungumza na mawakala na wauza magazeti wa jijini Dar.Sherehe hiyo ilifanyika kwa lengo la kuwakusanya wauza magazeti wote jijini Dar ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani