WASAUZI WAMESAHAU BUSARA ZA MADIBA?
![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo6h5uuAAeBAjGZoL-zWd84b8uX7IGO4iYafjpgji3dUQy2xszUhG-vALhRpdMsqIt0alyCcWbg22Gj1MKHqWWv1/NelsonMandelasmilewallpaper.jpg?width=650)
Nelson Mandela. Richard Manyota HALI ya hewa imechafuka sana nchini Afrika Kusini kwa wenyeji kuwafanyia kitu kibaya wageni, hasa wanaotoka katika nchi za Afrika. Wanadai, wingi wao umewafanya wao wakose ajira ndani ya nchi yao. Hii siyo mara ya kwanza kutokea kwa vurugu za namna hii, historia inaonyesha kuwa jambo hili ni la mara kwa mara. Haya yanatokea miaka miwili tu tangu kufariki dunia kwa rais wa kwanza mweusi wa nchi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pJanJcsrIwH8zM0bbrfBJ4Xcjwd2Iqjw7gjADtof7OrhffnYO*xqXkz8DQi1rtFX2Z4amkPKWsDlmZrGmBGwAtDTMD4wl4BS/mandela.jpg?width=650)
"BUSARA YA MADIBA NI FUNZO KWA WANAHARAKATI NA WANASIASA WETU"
9 years ago
Raia Mwema06 Jan
Wamesahau majukumu yao, wanasubiri maagizo
INATAKA upeo mkubwa wa kufikiri kung’amua kuwa aina ya utendaji wa kazi tunaoushuhudia sasa hivi
Njonjo Mfaume
11 years ago
Habarileo11 Dec
Maajabu ya Madiba
KATIKA uhai wake mpambanaji dhidi ya ubaguzi wa rangi duniani, Nelson Mandela, aliishangaza dunia alipotangaza msamaha kwa waliomtesa na akiwa marehemu, amekutanisha viongozi mahasimu wa kisiasa duniani katika uwanja mmoja wakimuaga. Hicho ndicho kilichomsukuma mshindi mwenzake wa Tuzo ya Nobel, Askofu Desmond Tutu, kusema Mandela alikuwa wa maajabu na alionesha maajabu akiwa hivi sasa ni marehemu.
11 years ago
Habarileo12 Dec
Kwaheri Madiba
MAELFU ya Waafrika Kusini jana walijitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza Mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika majengo ya Serikali ya Union jijini Pretoria.
Wengine walijipanga barabarani kutoa heshima zao wakati mwili ukipitishwa kutoka hospitalini ulikohifadhiwa na kupelekwa katika majengo ya Union na jioni kurudishwa hospitalini.
Mwili huo ulipelekwa hapo jana asubuhi ili kutoa fursa kwa wananchi kuuaga rasmi kabla ya kusafirishwa kwenda kijijini kwao...
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Madiba na maisha ya kifamilia
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Vikumbo vyatawala kumuaga Madiba
VIUNGA vya Jiji la Pretoria nchini Afrika Kusini, jana viligubikwa na umati mkubwa wa watu waliokusanyika katika jengo la Umoja kwa ajili ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa nchi...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/83091000/jpg/_83091013_bishop_foster1024.jpg)
VIDEO: 'The Madiba bubble has popped'
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Mnaiba iba tu jina la Madiba
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/71656000/jpg/_71656980_71652442.jpg)