Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


"BUSARA YA MADIBA NI FUNZO KWA WANAHARAKATI NA WANASIASA WETU"

Nelson Mandela. Historia haina uchoyo na mawazo kwa kila mwanadamu aliyejitosa kutengeneza historia.NELSON MANDELA ni miongoni mwa wanahistoria waliowahi kuijua na kuitengeneza historia ya dunia na kuwastaajabisha magwiji wa kihistoria wa huko ughaibuni kama akina Hegel,almond na wengine wengi. Madiba alikuwa ni mwanasiasa aliyeamini kuwa haki itapatikana kwa njia ya amani kabisa(non violence).Ili kuweza kutimiza ndoto zake za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Rais wa Ujerumani ameacha funzo kwa wanasiasa

Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck alifanya ziara nchini wiki hii, ikiwa ni moja ya harakati za kudumisha ushirikiano wa kisiasa, kiuchumi na kijamii kati ya taifa hilo na Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pumzika kwa amani mwanamichezo Mzee wetu Nelson Mandela Madiba

MWILI wa Mzee Nelson Mandela Madiba, ulizikwa jana kijijini kwake Qunu, Eastern Cape, baada ya kufariki Desemba 5, 2013 akiwa na miaka 95. Mandela ambaye kabla ya kupewa jina hilo...

 

10 years ago

GPL

WASAUZI WAMESAHAU BUSARA ZA MADIBA?

Nelson Mandela. Richard Manyota
HALI ya hewa imechafuka sana nchini Afrika Kusini kwa wenyeji kuwafanyia kitu kibaya wageni, hasa wanaotoka katika nchi za Afrika. Wanadai, wingi wao umewafanya wao wakose ajira ndani ya nchi yao. Hii siyo mara ya kwanza kutokea kwa vurugu za namna hii, historia inaonyesha kuwa jambo hili ni la mara kwa mara. Haya yanatokea miaka miwili tu tangu kufariki dunia kwa rais wa kwanza mweusi wa nchi...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Tumekosa maono; yataka wanaharakati si wanasiasa kuliokoa taifa

SASA naanza kuyakubali kwa uzito na mtazamo chanya wa nyakati zetu, maneno ya mwimbaji mmoja wa nyimbo za Injili, Rose Mhando, alipoimba, (kama naweza kuyakariri kwa usahihi maneno yake) kama ifuatavyo:

“Kweli pasipo maono, taifa huanguka/Na pasipo washauri, taifa huangamia,

Naiombea nchi yangu, rehema kwako Mungu/Ewe Mungu, kwa wema wako, ……..

Ukaliponye taifa langu ……..”

Je, si kukosa maono, kwa taifa, pale uchumi wa nchi unapowekwa mikononi mwa kikundi kidogo cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanasiasa wetu na woga wa mabadiliko

Kitabu cha Cycles of American kilichotungwa na Arthum Schelesinger Jr kinasema kutokufungwa na mawazo ya kale katika mazingira yanayobadilika kunampa kiongozi wa kidemokrasia nafasi ya kutengeneza vionjo vitamu ili apendwe na kufurahiwa na wengi.

 

11 years ago

Mwananchi

Ujumbe wa Kwaresima 2014 na wanasiasa wetu nchini

>Wakati waumini wa madhehebu ya Kikirsto nchini, wakiwamo Wakatoliki wakiwa katika  siku 40 za mfungo wa Kwaresima ambao ni mahususi kwa ajili ya maandalizi ya Pasaka, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa ujumbe mzito kwa mwaka 2014.

 

11 years ago

Mwananchi

Ni kweli kuwa wanasiasa wetu ni watu wa watu?

Moja ya sifa za nje ya ofisi ambazo Rais Jakaya Kikwete anamwagiwa na Watanzania ni ile ya ushiriki wake katika masuala ya kijamii.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola ni funzo kubwa kwa WHO na dunia

Shirika la Afya Duniani, WHO limekutana kuangalia wapi imekosa katika maafa ya Ebola

 

10 years ago

BBCSwahili

Je Burundi itakuwa funzo kwa Afrika ?

Je vurugu inayoendelea huko Burundi kupinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu inatufunza nini ?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani