Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumekosa maono; yataka wanaharakati si wanasiasa kuliokoa taifa

SASA naanza kuyakubali kwa uzito na mtazamo chanya wa nyakati zetu, maneno ya mwimbaji mmoja wa nyimbo za Injili, Rose Mhando, alipoimba, (kama naweza kuyakariri kwa usahihi maneno yake) kama ifuatavyo:

“Kweli pasipo maono, taifa huanguka/Na pasipo washauri, taifa huangamia,

Naiombea nchi yangu, rehema kwako Mungu/Ewe Mungu, kwa wema wako, ……..

Ukaliponye taifa langu ……..”

Je, si kukosa maono, kwa taifa, pale uchumi wa nchi unapowekwa mikononi mwa kikundi kidogo cha...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Wazee watazuia mafuriko Lowassa na kuliokoa taifa?

KUNA msemo kuwa; “Penye wazee haliharibiki neno”.

Lula wa Ndali Mwananzela

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif afungua mkutano wa hifadhi na kuelezea maono ya taifa

DSC_0005

Wageni mbalimbali wanaoshiriki mkutano mkubwa wa kimataifa wa hifadhi ya jamii ulioandaliwa na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha ulioanza leo katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Arusha (AICC) wakifanya usajili kabla ya kuanza kwa mkutano huo. (Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).

Na Mwandishi wetu

MAKAMU wa pili wa rais Zanzibar  Balozi Seif Ali Iddi, amesema mpango wa serikali ya Tanzania wa hifadhi ya jamii ndio msingi wa sera ya kuondoa umaskini miongoni mwa watu...

 

10 years ago

GPL

"BUSARA YA MADIBA NI FUNZO KWA WANAHARAKATI NA WANASIASA WETU"

Nelson Mandela. Historia haina uchoyo na mawazo kwa kila mwanadamu aliyejitosa kutengeneza historia.NELSON MANDELA ni miongoni mwa wanahistoria waliowahi kuijua na kuitengeneza historia ya dunia na kuwastaajabisha magwiji wa kihistoria wa huko ughaibuni kama akina Hegel,almond na wengine wengi. Madiba alikuwa ni mwanasiasa aliyeamini kuwa haki itapatikana kwa njia ya amani kabisa(non violence).Ili kuweza kutimiza ndoto zake za...

 

9 years ago

Habarileo

Wanasiasa nchini watakiwa kuweka mbele maslahi ya taifa

BARAZA la vyama vya siasa nchini limesema kazi ya kulinda kura ipo chini ya mamlaka ya vyombo vya ulinzi kwa mujibu wa katiba na sheria na si wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

KOMBE LA SHIRIKISHO: Tumekosa wote

>Yanga imejijengea mazingira magumu ya kusonga mbele kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Etoile du Sahel.

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yataka hospitali binafsi kuacha kutumia vibaya fedha za Mfuko wa Taifa wa Bima za Afya.

Na Magreth Kinabo- MAELEZO
Serikali imepiga marufuku tabia ya baadhi ya hospitali au taasisi binafsi za afya kuwapima wagonjwa wanaotoka hospitali za Serikali vipimo ambavyo hawakuagizwa kuvipima na madaktari kutoka hospitali hizo kwani kufanya hivyo ni kuiongezea Serikali gharama  zisizo la lazima.
Tamko hilo limetolewa na Naibu  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi  Kigwangala wakati alipofanya ziara ya kutembelea leo kwenye Taasisi ya Saratani ya Ocean...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mama kuku’ mwenye maono ya mbali

“Wananiita Mama Kuku kutokana na kazi yangu ya kufuga na kuuza kuku katika maeneo mengi kwenye miji ya Moshi na Arusha, kazi ambayo nimekuwa nikiifanya kwa bidii ili kuhakikisha sipotezi wateja wangu.”

 

11 years ago

Tanzania Daima

BUNGE MAALUMU LA KATIBA: Vurugu za maono zinatawala

WABUNGE ni watu wanaotoka kwenye mazingira na mitazamo tofauti ya kisiasa na kiitikadi, hivyo basi kuna kila sababu wote wakubaliane juu ya tofauti zao. Mchanganyiko maalumu wa wabunge wa Bunge...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Bajeti ya Upinzani ina maono, Serikali iyafanyie kazi

Tumeisoma kwa umakini mkubwa Bajeti ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa mwaka 2015/16 iliyowasilishwa bungeni juzi na Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia. Bajeti hiyo kwa kiasi kikubwa imeanika kasoro nyingi zilizomo katika Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha wa 2015/16 kiasi cha kuibua maswali mengi kama kweli uandaaji wa bajeti za Serikali katika miaka ya hivi karibuni umekuwa ukizingatia weledi na vigezo vinavyotumika katika mataifa mengi duniani, ikiwa ni pamoja na kutumia takwimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani