Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mama kuku’ mwenye maono ya mbali

“Wananiita Mama Kuku kutokana na kazi yangu ya kufuga na kuuza kuku katika maeneo mengi kwenye miji ya Moshi na Arusha, kazi ambayo nimekuwa nikiifanya kwa bidii ili kuhakikisha sipotezi wateja wangu.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

JUSSA MWANASIASA MWENYE KUONA MBALI

Na Swahilivilla. Blog Washington  Waziri Majivuno wa Kusadikika alisema: "Hekima ni kitu adimu kupatikana kwa mtu asiye na mvi...". Pia Waswahili wanasema: "Akili ni nywele"Mshitakiwa Karama aliipinga hoja ya Waziri Majivuno kwa kusema: "....Elimu ilipokuwa haijulikani hapa duniani, mvi zilizingatiwa kuwa ni ishara ya hekima..."Nimekuwa nikiyatafakari mafungu hayo matatu ya maneno ili kuona kama yana uhalisia wowote katika maisha yetu ya leo.Pichani Ndugu  Saidi Mwamende akimuliza swali  ...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

GPL

10 years ago

Vijimambo

MH. NYALANDU AKIWA NA MAMA MWENYE NYUMBA WAKE



Mh. Nyalandu akiwa na mke wake ni mambo ya Valentine's Day hayo Vijimambo inakupongeza Mh. Kwa Upendo wako kwa familia yako.

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA MWENYE MAPACHA SITA AKABIDHIWA NYUMBA


Mwenyekiti wa bodi ya banki ya Covenat Salome Sijaona akimkabidhi funguo bara baada ya uzinduzi wa nyumba aliyokabidhiwa Salome Mhando ambaye alitelekezwa na mume wake baada ya kujifungua watoto hadi kufikai sita na kukosa mahala pa kuishi ndipo banki hiyo imemnunulia nyumba na kumkabidhi wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa banki hiyo Sabetha MwambenjaMwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Bank ya Covenate Balozi Salome sijaona akizindua nyumba ya Salome Mhandoambaye Alitelekezwa na mume...

 

11 years ago

Mwananchi

Mjasiriamali, Mama jasiri, mwenye uthubutu wa kipekee

Grace Mahumbuka ni mjasiriamali ambaye sasa amekuwa Balozi wa Mabadiliko ya Tabia Nchi na Jinsia(Ekama), baada ya kuwa mshindi wa kwanza na pekee wa Tuzo za Asasi za kiraia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Je ni kwa nini mama huyu alimuoa binti mwenye umri wa mwanawe?

Wakati walipoanza kuchumbiana, hawakujionyesha moja kwa moja kuwa wapenzi wa jinsia moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani