Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola ni funzo kubwa kwa WHO na dunia

Shirika la Afya Duniani, WHO limekutana kuangalia wapi imekosa katika maafa ya Ebola

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je dunia imepata funzo gani kutokana na mlipuko wa Ebola DRC?

Ni miezi miwili imepita bila kuripotiwa kwa kisa cha Ebola katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

 

5 years ago

Michuzi

MAAGIZO YA WAZIRI JAFO NI FUNZO KUBWA KWA WATENDAJI WA UMMA

KWA miaka mingi kulijengeka utamaduni kwa viongozi wengi hapa nchini kutoa maagizo mbalimbali bila kufanya ufuatiliaji kitendo kilicholeta tabia ya uzembe kwa watendaji wa umma kutotekeleza maagizo hayo na hivyo kusababisha kutokamilika kwa miradi mingi na upotevu mkubwa wa fedha za umma. 
Katika kipindi cha miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kimekuwa kipindi tofauti sana kwa upande wa Ofisi ya Rais TAMISEMI kwani Waziri Jafo amekuwa mwiba kwa wazembe Kwani kila kinacho agizwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola: Hasara kubwa kwa Kenya Airways

Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways linasema limepata hasara ya dola milioni 116 kutokana na mlipuko wa Ebola Afrika Magharibi

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Tuamke, Ebola imerudi kwa kasi kubwa

>Kwa ukimya huu, inawezekana kabisa kwamba Serikali ya Tanzania haina taarifa za kuibuka na kusambaa kwa kasi kwa ugonjwa hatari wa ebola, ambao tayari umeua zaidi ya watu 518 na kuambukiza wengine 759 katika nchi kadhaa barani Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado ni tisho kwa dunia

Umoja wa Mataifa unasema Ebola bado ni tisho kubwa na huenda ikasambaa duniani

 

10 years ago

Mwananchi

Uchaguzi wa Nigeria na funzo kwa Tanzania

Mwishoni mwa wiki iliyopita, wananchi wa Nigeria walipiga kura kumchagua Rais katika uchaguzi wenye ushindani mkali kati ya Rais wa sasa, Goodluck Jonathan na mpinzani wake Jenerali Muhamadu Buhari.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je Burundi itakuwa funzo kwa Afrika ?

Je vurugu inayoendelea huko Burundi kupinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu inatufunza nini ?

 

10 years ago

Mwananchi

Rais wa Ujerumani ameacha funzo kwa wanasiasa

Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck alifanya ziara nchini wiki hii, ikiwa ni moja ya harakati za kudumisha ushirikiano wa kisiasa, kiuchumi na kijamii kati ya taifa hilo na Tanzania.

 

11 years ago

Bongo5

Video:Terrance J, Chaka Zulu na David Banner watimiza ahadi ya Kikwete, watoa funzo kwa wasanii

Bongo5 leo imepata nafasi ya kufanya mahojiano na wadau wakubwa wa Muziki, filamu na maigizo kutoka Marekani ambao Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete aliwaahidi wasanii wa muziki na filamu siku ya uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha uzalendo kwa vijana jijini Dodoma wiki kadhaa zilizopita. Terrance J, Chaka Zulu, Ravi Shelton na David Banner Wadau hao ni […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani