Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAGIZO YA WAZIRI JAFO NI FUNZO KUBWA KWA WATENDAJI WA UMMA

KWA miaka mingi kulijengeka utamaduni kwa viongozi wengi hapa nchini kutoa maagizo mbalimbali bila kufanya ufuatiliaji kitendo kilicholeta tabia ya uzembe kwa watendaji wa umma kutotekeleza maagizo hayo na hivyo kusababisha kutokamilika kwa miradi mingi na upotevu mkubwa wa fedha za umma. 
Katika kipindi cha miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kimekuwa kipindi tofauti sana kwa upande wa Ofisi ya Rais TAMISEMI kwani Waziri Jafo amekuwa mwiba kwa wazembe Kwani kila kinacho agizwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI JAFO ARIDHISHWA NA KASI UJENZI WA HOSPITALI YA UHURU, ATOA MAAGIZO KWA TBA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo akitoa maelekezo kwa Wakala wa Majengo Nchini (TBA) alipofika kutembelea ujenzi wa Hospitali ya Uhuru inayojengwa wilayani Chamwino, Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo (kulia) akikagua ujenzi wa Hospitali ya Uhuru inayojengwa wilayani Chamwino, Dodoma. Ziara hiyo ameifanya leo ambapo aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Binilith Mahenge (katikati).Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo akipokea...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI JAFO AAGIZA WATENDAJI WOTE WABABAISHAJI TARURA WACHUKULIWE HATUA

Charles James, Michuzi TV

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura), Victor Seff kuwachukulia hatua watendaji wote wababaishaji kwenye ngazi ya Mikoa na Halmashauri.

Jafo amesema kuna watumishi katika ngazi za Mikoa ambao wamekua wakikwamisha spidi ya wakala huo katika kuwaletea maendeleo watanzania.

Waziri Jafo ametoa agizo hilo leo jijini Dodoma wakati wakati akiizindua rasmi Bodi  ya Ushauri ya Tarura ambayo...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AWAPONGEZA KISARAWE KWA UBUNIFU WA TAMASHA LA MAMA LISHE, ATOA MAAGIZO KWA WAKURUGENZI WOTE

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo, ameipongeza Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani kwa kuandaa Tamasha la Mama Lishe ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wa mama lishe katika kuleta maendeleo.

Jafo ametumia nafasi hiyo kuwataka wakurugenzi wa halmashiri zote nchini ambao wataoshindwa kutoa asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya mikopo ya wanawake, walemavu na vijana watachukuliwa hatua ikiwemo ya kutumbuliwa.
Akizungumza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola ni funzo kubwa kwa WHO na dunia

Shirika la Afya Duniani, WHO limekutana kuangalia wapi imekosa katika maafa ya Ebola

 

5 years ago

Michuzi

RC KAGERA AKABITHI BOTI KWA WATENDAJI KATA, ATOA MAAGIZO MAZITO KUHUSU MATUMIZI.


Mkuu wa mkoa Kagera Bri.Gen Marco Gaguti aliyeshika ufunguo wenye kamba nyekundu akikabidhi boti kwa watendaji wa kata.
Mkuu wa mkoa Kagera akiwahuitubia wavuvi pamoja na wananchi katika kijiji cha katembe Kata Nyakabango wilayani Muleba wakati wa hafla ya kukabithi Boti.
Wananchi pamoja na viongozi wa wilaya Muleba wakimsikiliza Mkuu wa mkoa alipokuwa akiwahutubia.


Na Allawi Kaboyo,Muleba

Kufatia kuwepo kwa vitendo vya uvuvi Haramu katika ziwa Victoria,Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia...

 

10 years ago

Vijimambo

LUSINDE AWASHUKIA WATENDAJI WASITEKELEZA MAAGIZO YA RAIS


 Mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde akielezea maendeleo ya ujenzi wa Shule ya msingi Lowasa kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Muungano wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana(kushoto) akimuonyesha Mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde namna ya kufatua matofali wakati wa kushiriki ujenzi wa shule ya msingi Lowasa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupampu maji ya kisima cha...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA MIKOA NCHINI

  Wakuu wa Mikoa kote nchini wameagizwa kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika kuuza sukari kwa shilingi 4500.
Waziri Mkuu Mhe.Kasim Majaliwa amesema hakuna sababu ya sukari kupanda bei kwani sukari ipo yakutosha, ilikuwa imepungua imeagizwa na imekwishaletwa.
Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatano April 22, 2020 akiwa kwenye Maombezi ya kuombea Taifa dhidi ya ugonjwa huu yanayofanyika katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar 
“Wiki hii waumini wa kiislamu wanaanza mfungo wa Ramadhan hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

MEYA MANISPAA YA MOSHI AWASEMEA WATENDAJI WANAO HUJUMU MALI ZA UMMA KWA WANANCHI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi na Mwenyekiti wa Chadema Manispaa ya Moshi Jafary Michael akiwahutubia wakazi wa mji wa Moshi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Manyema mjini Moshi.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael katika viwanja vya Manyema ,Meya Jafary alikuwa akizungumzia vitendo vya Uporaji wa Viwanja vya Umma pamoja na tatizo la wafanya biashara ndogo ndogo  maarufu kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani