Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola bado ni tisho kwa dunia

Umoja wa Mataifa unasema Ebola bado ni tisho kubwa na huenda ikasambaa duniani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Obama:'Ebola ni tisho kwa usalama'

Rais wa Marekani Barack Obama, amelitaja janga la Ebola katika kanda ya Afrika Magharibi kuwa kama tisho la usalama wa kimataifa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola ni funzo kubwa kwa WHO na dunia

Shirika la Afya Duniani, WHO limekutana kuangalia wapi imekosa katika maafa ya Ebola

 

11 years ago

BBCSwahili

Tisho kwa kilimo cha Mwani Zanzibar

Ukulima wa mwani umekuwa na umuhimu mkubwa katika kuinua uchumi wa Zanzibar, lakini hivi sasa zao hili linaonekana kuwa hatarini kupotea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado ni Tishio

wakati ugonjwa wa Ebola ukiwa hauna tiba wala chanjo,wadau wa afya wamwagiana lawama.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado tishio

Shirika la Afya Duniani limesema ugonjwa wa Ebola hautaweza kudhibitiwa kikamilifu katika kipindi cha mwaka mmoja unaokuja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado tishio Nigeria

Shule zafunguliwa nchini Nigeria baada ya tishio la maambukizi ya Ebola

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado tishio Sierra Leone

Miili yaonekana katika maeneo ya mgodi wa Almasi nchini Sierra Leone

 

10 years ago

GPL

EBOLA BADO TISHIO AFRIKA MAGHARIBI

TAARIFA iliyotolewa hivi karibuni na Shirika la Afya Duniani (WHO), inaonyesha jinsi gonjwa hatari la Ebola linavyozidi kuangamiza wananchi katika eneo hilo. Agosti 22 mwaka huu, WHO walitoa taarifa kuwa, jumla ya wagonjwa walioripotiwa kuwa na Ebola ni 2,615 kwenye nchi nne za Afrika Magharibi ambapo kati yao 1,427 wamepoteza maisha kwa ugonjwa huo. Nchini Liberia ambapo ugonjwa huo ulianzia, wagonjwa 1,082 wameripotiwa kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sierra Leone yatishwa bado na Ebola

Maofisa wa afya nchini Sierra Leone wametahadharisha uwezekano wa kutokea maambukizi zaidi ya virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani