Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAJABU YA MTOTO WA MIUJIZA

Stori: Richard Bukos
MTOTO Happiness (10) (pichani) ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita  alizua kizazaa mjini Zanzibar baada ya kuonekana akizungumza na viumbe wa ajabu na wanyama, ametua jijini Dar kufuatia kufika kisiwani humo kimaajabu. Mtoto Happiness (10) anayedaiwa kuzua kizazaa mjini Zanzibar. Kwa mujibu wa mama mzazi wa mtoto huyo, Sarah Zefania, mwanaye Happiness alianza kuonesha maajabu Zenji tangu alipoonekana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAAJABU YA MTOTO KUFUFUKA

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
MAAJABU! Mtoto Irene Emmanuel Joseph (1) mkazi wa Kibamba-Mji Mpya jijini Dar, ameendelea kuwa gumzo kufuatia kufariki dunia Agosti, mwaka jana akiwa na miezi 9 na kudaiwa kufufuka katika mazingira ya ajabu hivi karibuni akiwa na umri wa mwaka mmoja na miezi minne, Uwazi linakuletea. ...

 

10 years ago

GPL

HAYA NDIYO MAAJABU YAKE MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MKONO WA MUNGU

Na Haruni Sanchawa
MTOTO Jacqueline Lepenza, aliyenusurika katika ajali mbaya ya basi lililogongana na lori huko Mafinga mkoani Iringa wiki mbili zilizopita, ameripotiwa kuwa na maajabu baada ya baba yake mzazi kujitokeza na kusimulia, Uwazi linakutaarifu. Jacqueline Lepenza, akiwa na baba'ke. Willy Lupenza, baba mzazi wa mtoto huyo mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, alisema marehemu mke wake, Anjela Osward (35) (pichani)...

 

9 years ago

Mwananchi

Miujiza ya Mungu

Wachimbaji wa watano wa madini kati ya sita waliodhaniwa kuwa wamekufa baada ya kufukiwa na kifusi Oktoba 5 katika machimbo ya Nyangalata wilayani Kahama, Shinyanga wameokolewa juzi wakiwa hai baada ya kuishi chini ya ardhi kwa siku 41.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nasubiri miujiza ya mtandao 2015

AJENDA ya uteuzi wa jina la mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu ujao mwakani inatishia kukisambaratisha chama hicho na kusababisha anguko kwenye uchaguzi huo. Tishio...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miujiza ya wajumbe wa Bunge la Katiba

MOJA ya methali walizotuachia wahenga yasema “sitaki haiwi nongwa ikachongea na watu.” Nongwa ni hali ya kuwa na mfundo moyoni au hali ya kumchoka mtu kutokana na maneno yake mengi....

 

11 years ago

Habarileo

‘Hakuna miujiza katika kuboresha elimu’

Profesa Eustella BhalalusesaKAMISHNA wa Elimu kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Eustella Bhalalusesa amesema hakuna miujiza katika kuboresha elimu nchini, ikiwa walimu nchini hawajatayarishwa kutoa elimu bora na kujengewa misingi ya kupenda kazi yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbeya waandaliwa tamasha la ishara, miujiza

SHIRIKA la Evangelical Mission SOS International kutoka Sweden, kwa kushirikiana na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Mkoa wa Mbeya, wameandaa tamasha la ishara na miujiza litakalofanyika kwenye Viwanja vya...

 

5 years ago

Michuzi

MRADI WA MAJI LONGIDO NI MIUJIZA-DK.MHINA


Tanki la maji lililopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido, ambalo linakusanya maji kutoka Mto Simba uliopo wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro.

………………………………………………………………………………

“Tangu Longido kuwa Wilaya mwaka 2007 haijawahi kuwa na huduma maji yanayotiririka kwenye nyumba za watu, yamekuwepo maji ya visima miaka yote, nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli alitupatia fedha kiasi cha shilingi bilioni 15. 89 ambazo zimetekeleza mradi maarufu unaoitwa mto Simba, ambapo maji...

 

11 years ago

Mwananchi

Ng’wanamalundi; Mtu wa miujiza aliyeutesa utawala wa Wajerumani (2)

Wiki iliyopita tuliona jinsi Ng’wanamalundi alivyokuwa katika harakati za kusaka umaarufu wa kucheza ngoma anakutana na Bibi Kizee ambaye anampa uwezo wa kufanya maajabu. Anakutana na Mtemi Chilya na kuanza kuonyesha uwezo wake wa kufanya maajabu. Sasa endelea…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani