Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbeya waandaliwa tamasha la ishara, miujiza

SHIRIKA la Evangelical Mission SOS International kutoka Sweden, kwa kushirikiana na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Mkoa wa Mbeya, wameandaa tamasha la ishara na miujiza litakalofanyika kwenye Viwanja vya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Sumaye kubariki Tamasha la Krismas Mbeya

 WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wakati wa Tamasha la Krismas Desemba 25 mwaka huu Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa maandalizi kuhusiana na tamasha hilo yanaenda vizuri.  “Tulikubaliana katika kamati tumuombe Waziri Mkuu mstaafu Sumaye aje atupe baraka kwenye tamasha la Krismasi, nafurahi kusema ni mtu wa watu, amekubali kujumuika na wadau...

 

10 years ago

Michuzi

Sumaye kubariki Tamasha la Krismasi jijini Mbeya


 WAZIRI Mkuu mstaafu, Mhe Frederick Sumaye, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wakati wa Tamasha la Krismas Desemba 25 mwaka huu Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.  Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa maandalizi kuhusiana na tamasha hilo yanaenda vizuri.  “Tulikubaliana katika kamati tumuombe Waziri Mkuu mstaafu Sumaye aje atupe baraka kwenye tamasha la Krismasi, nafurahi kusema ni mtu wa watu, amekubali kujumuika...

 

11 years ago

GPL

Watakaozimia waandaliwa dawa yao

Mashabiki wa timu ya Yanga SC. Na Khadija Mngwai
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa kutokana na idadi ya mashabiki waliozimia katika mechi iliyopita ya Simba dhidi ya Yanga kuwa kubwa, wameamua kuongeza magari ya wagonjwa ‘ambulance’ ikiwa ni sehemu ya kushughulikia tatizo kama hilo endapo litajitokeza katika mechi ya kesho baina ya timu hizo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.… ...

 

9 years ago

Habarileo

Muongozo elimu bure waandaliwa

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, amesema wizara yake inaandaa mwongozo utakaotoa maelekezo juu ya muundo, mfumo na utaratibu nyumbufu utakaohakikisha kuwa ifikapo Januari mwakani, elimu ya msingi inatolewa bila malipo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamasha Mbeya kubadili tabia za vijana bila shuruti

SHIRIKA la Evangelical Mission SOS International kutoka Sweden kwa kushirikiana na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Mkoa wa Mbeya (CPCT), wameamua kubadilisha tabia za vijana bila shuruti. Katika kubadilisha tabisa...

 

9 years ago

Mtanzania

Wajawazito waandaliwa vifaa vya kujifungulia

Na Florence Sanawa, Kilwa

WANAWAKE wajawazito wapatao 150 wananufaika na huduma ya uzazi bora katika Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ wilayani Kilwa mkoani Lindi, kutokana na kijiji hicho kupata mapato ya uvunaji wa misitu ambayo yanakua kila mwaka hadi kufikia milioni 90 kwenye akaunti ya kijiji hicho.

Akizungumza na MTANZANIA, Mjumbe wa Kamati ya Kijiji ya Misitu, Maimuna Hemed, alisema kutokana na kijiji kukusanya mapato yanayokuwa kutokana na utunzaji na uvunaji wa misitu, kijiji kimejipanga...

 

11 years ago

Habarileo

Vijana 916 waandaliwa kufaidi gesi

VIJANA 916 wa Kitanzania wengi kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara, wamepewa mafunzo ya ndani na nje ya nchi zitakazokuwa na mahitaji makubwa katika sekta ya gesi. Kati ya vijana hao, vijana 668 wanatoka katika mikoa ya Lindi na Mtwara na wamepewa mafunzo ya miaka miwili ya stadi za huduma mbalimbali katika viwango vya kimataifa, katika Chuo cha Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA), mkoani Mtwara.

 

10 years ago

Michuzi

WAIMBAJI WA TAMASHA LA KRISMAS MKOANI MBEYA WAELEZEA MAANDALIZI YAO

  1Mwimbaji wa muziki wa injili Tumaini Njole akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa Tamasha la Pasaka litakalofanyika sikukuu ya Krismas tarehe 25/12/2014 mkoani Mbeya wakati alipozungumzia maadalizi ya tamasha hilo na jinsi alivyojipanga kukonga mioyo ya mashabiki wa nyimbo za injili mkoani Mbeya , Tamasha hilo linatarajiwa kuanza muda wa Saa nane mchana viingilio vikiwa ni shilingi 5000 kwa watu wazima na watoto shilingi 2000, Katika...

 

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA MADIVA KUFANYIKA DISEMBA 4 MWAKA HUU MKOANI MBEYA

 Msanii wa kizazi kipya Vanessa Mdee (Wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na madansa wake wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Trust “Divas Only” lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dodoma. Tamasha hilo ni mahususi kwa utoaji elimu ya uzazi wa mpango kwa kina dada ambalo liliratibiwa na Shirika la DKT international. Msanii Vanessa Mdee (kushoto) akibadilishana mawazo na wafanyakazi mbalimbali wa Shirika la DKT International kabla ya kufungua rasmi Tamasha la Divas Only ambalo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani