Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajawazito waandaliwa vifaa vya kujifungulia

Na Florence Sanawa, Kilwa

WANAWAKE wajawazito wapatao 150 wananufaika na huduma ya uzazi bora katika Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ wilayani Kilwa mkoani Lindi, kutokana na kijiji hicho kupata mapato ya uvunaji wa misitu ambayo yanakua kila mwaka hadi kufikia milioni 90 kwenye akaunti ya kijiji hicho.

Akizungumza na MTANZANIA, Mjumbe wa Kamati ya Kijiji ya Misitu, Maimuna Hemed, alisema kutokana na kijiji kukusanya mapato yanayokuwa kutokana na utunzaji na uvunaji wa misitu, kijiji kimejipanga...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Salma awataka wajawazito kujifungulia vituo vya afya

JAMII imehimizwa kuhamasisha wajawazito kujifungulia katika vituo vya afya ambako watasaidiwa na wakunga wenye ujuzi, kwa kufanya hivyo vifo vya kinamama na watoto wachanga vinavyotokana na tatizo la uzazi vitapungua.

 

10 years ago

Habarileo

Uwezo mdogo wapunguza bajeti ya vifaa vya kujifungulia

SERIKALI jana imeliambia Bunge kushuka kwa bajeti ya vifaa vya kujifungulia kutoka Sh bilioni tatu mwaka 2013/14 na Sh bilioni nne mwaka 2012/13 hadi Sh bilioni 1.5 kwa 2014/15 kunatokana na uwezo wa serikali kiuchumi kuwa mdogo kuweza kukidhi mahitaji yote ya nchi.

 

10 years ago

Michuzi

Janet Mbene akabidhi vitanda vaya kujifungulia vya thamani ya Milioni 30 ileje

 Mafundi wa Hospitala wakiunganisha kitanda cha kujifunguliwa kilicholetwa na Mh Janet Mben kwa ajili  ya hospitalai za ieleje. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Janet Mbene,akionyesha baadhi ya vifaa vinavyotumika katika hospital ambavyo avimetolewa na Karemjee Foundation kwa ajili ya Hospital ya Ileje. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akimkabidhi Vitanda vya Kujifungulia Katibu wa CCMwilaya ya Ileje kwa ajili ya Hospitali za wilaya hiyo. Mganga mkuu wa Wilaya ya ilje...

 

9 years ago

CCM Blog

CHINA YASAIDIA VITANDA 60 VYA KUJIFUNGULIA WAKINA MAMA KWA MKOA WA LINDI

 Balozi wa China nchini Dk. Lu Youqing akizungumza kabla ya kukabidhi vitanda 60 vya kujifungulia wakina mama katika mkoa wa Lindi, kushoto ni mkalimani wake Ndugu Mu Lin.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) akizungumza kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (MB) ambapo alisema Serikali ya China pamoja na watu wake wamekuwa marafiki wa kweli kwa Tanzania na wamekuwa wakitoa misaada mingi bila kutoa masharti.

 Waziri wa...

 

5 years ago

Michuzi

Vifaa vya tiba vya kujikinga na Corona vya magendo vyanaswa Morocco vikipelekwa Ulaya

Vyombo vya habari vya Morocco vimeripoti kwamba, maafisa wa nchi hiyo wamenasa maelfu ya maski za masuala ya tiba zilizokuwa zikitoroshwa na kupelekwa Ulaya.

Gazeti la al Quds al Arabi linalochapishwa London limeripoti kuwa, raia mmoja wa Uingereza amekamatwa katika uwanja wa ndege wa Agadir huko kusini magharibi mwa Morocco akijaribu kutorosha maski elfu 16 na kuzipelekea Manchester kwa njia za magendo.

Vilevile maafisa wa forodha wa Morocco wamenasa shehena nyingine iliyokuwa na vifaa vya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: White House yakiri Marekani haina vifaa vya kutosha vya kupima virusi vya corona

New York imetoa wito kwa serikali kutuma vifaa zaidi vya kupima virusi vya corona katika jimbo hilo huku visa vya maambukizi vikiongezeka.

 

10 years ago

Habarileo

Zanzibar kupunguza vifo vya wajawazito

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed SheinRAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema suala la kuimarisha maisha ya jamii na kupunguza idadi ya vifo vya wajawazito na watoto wachanga ni miongoni mwa masuala muhimu.

 

10 years ago

Habarileo

Sababu vifo vya wajawazito zatajwa

UKOSEFU wa nyumba za watumishi katika Sekta ya Afya hasa maeneo yenye miundombinu duni ya usafiri kunakofanya watumishi kushindwa kukaa katika maeneo hayo, kumetajwa kuwa ni moja ya mambo yanayochangia kuongeza vifo vya wajawazito na watoto.

 

10 years ago

Mwananchi

Vifo vya wajawazito vyaweza kuzuilika

Takwimu za hivi karibuni hapa nchini zinaonyesha kwamba kwa mwaka, Tanzania inapoteza kina mama 7,900 kutokana na sababu zitokanazo na ujauzito. Idadi hiyo ni sawa na vifo 22 kwa siku.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani