Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Salma awataka wajawazito kujifungulia vituo vya afya

JAMII imehimizwa kuhamasisha wajawazito kujifungulia katika vituo vya afya ambako watasaidiwa na wakunga wenye ujuzi, kwa kufanya hivyo vifo vya kinamama na watoto wachanga vinavyotokana na tatizo la uzazi vitapungua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Wajawazito waandaliwa vifaa vya kujifungulia

Na Florence Sanawa, Kilwa

WANAWAKE wajawazito wapatao 150 wananufaika na huduma ya uzazi bora katika Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ wilayani Kilwa mkoani Lindi, kutokana na kijiji hicho kupata mapato ya uvunaji wa misitu ambayo yanakua kila mwaka hadi kufikia milioni 90 kwenye akaunti ya kijiji hicho.

Akizungumza na MTANZANIA, Mjumbe wa Kamati ya Kijiji ya Misitu, Maimuna Hemed, alisema kutokana na kijiji kukusanya mapato yanayokuwa kutokana na utunzaji na uvunaji wa misitu, kijiji kimejipanga...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wahamasishwa kutembelea vituo vya afya kujua afya zao

Msanii wa Muziki wa Taarabu na mpiga Gitaa maarufu nchini Bw. Thabit Abdul akizungumza na vijana wa jijini la Dar es Salaam wakati wa hafla ya Jamvi la Vijana ambalo uendeshwa maramoja kila mwezi na Kituo cha Vijana UMATI kilichopo wilayani Temeke alipokuwa mgeni rasmi katika jamvi hilo jana jijini Dar es Salaam. Jamvi hilo lilikuwa na ujumbe mahususi kwa vijana uliolenga kuwa hamasisha kufika katika vituo vya afya kwa ajili ya kuchunguza afya zao na kupata matibabu. Mratibu wa Kituo cha...

 

9 years ago

Vijimambo

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YAZINDUA MFUMO WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA VITUO VYA AFYA TANZANIA BARA

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donan Mmbando (kulia), akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa mfumo wa taarifa ya vituo vya afya nchini uliofanyika Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Tehama wa   wizara hiyo, Hermes Rulagirwa na Ofisa wa Tehama, Kenani Mwansasu. Hapa ni kupongezana baada ya uzinduzi huo.
 Mkuu wa Kitengo cha Tehama wa   wizara hiyo, Hermes Rulagirwa (kulia), akizungumza na wanahabari. Wadau mbalimbali wa sekta ya Afya wakiwa kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI CCBRT AKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA HOSPITALI, VITUO VYA AFYA 22

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi,  leo hii amekabidhi vifaa maalumu vya kujikinga na virusi vya Corona usoni (Face Shields) vipatavyo 150 kwa hospitali na vituo vya afya 22 katika Manispaa za mkoa wa Dar es Salaam.
Lengo la CCBRT ni kuunga mkono juhudi za Serikali na wadau wengine hapa nchini katika kuwakinga wahudumu wa afya na janga la Corona. 
“Tumekusudia vifaa hivi vitumike katika vitengo vya afya ya uzazi katika hospitali hizo ili kuwakinga wahudumu wa afya...

 

5 years ago

Michuzi

RC.GAMBO MALIZENI MIRADI YA MAJI NDANI YA MKATABA SANJARI NA KUFUNGA VIFAA VYA VITUO VYA AFYA


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Arusha alipofanya ziara ya kutembelea Kituo cha Afya Kaloleni kujionea shughuli mbalimbali kwenye kituo hicho ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya siku tatu kukagua miradi ya Afya na Maji kwenye Halmashauri zote za mkoa huo hii ikiwa ni ziara yake kwenye halmashauri ya jiji la Arusha mwishoni mwaka wiki picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha...

 

10 years ago

Habarileo

Uhaba wa watumishi waathiri hospitali, vituo vya afya

UHABA wa watumishi katika hospitali na vituo vya afya mkoani Rukwa umetakiwa kutatuliwa haraka kuleta ufanisi katika utekelezaji wa kampeni ya kukomesha vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua.

 

9 years ago

Habarileo

Vituo vya afya 286 havina maji Dodoma

VITUO 286 kati ya vituo vya afya 402 vilivyopo mkoani Dodoma havina maji kabisa na hivyo kuleta shida kubwa ya usafi binafsi kwa wanaofika kupata huduma katika vituo hivyo.

 

11 years ago

Habarileo

JK ataka busara ujenzi vituo vya afya mijini

Anna Makange,Tanga RAIS Jakaya Kikwete ameutaka uongozi wa halmashauri ya jiji la Tanga kuweka mpango bora wa ujenzi wa vituo vya afya kwa kuziunganisha kata huku wakizingatia idadi ya watu waliopo kwenye eneo husika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani