Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Orodha ya vituo vya kutolea huduma za afya, vilivyoteuliwa kuchukua sampuli ya vipimo vya ugonjwa corona (COVID-19)


 Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mhe.Paul Makonda
 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAGANGA WAKUU WATAKIWA KUKAGUA UTAYARI WA KUKABILIANA NA CORONA KWENYE VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA


Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia maswala ya Afya, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt.Dorothy Gwajima akiwa katika moja ya chumba kilicho andaliwa kwa ajili ya kutolea kuhuduma kwa wagonjwa wa COVID-19 (CORONA) katika halmashauri ya Ikungi mkoani Singida.Baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wakikagua dawa zilizoandaliwa katika kituo cha Ilongero cha kuhudumia wa wagonjwa wa ...

 

5 years ago

Michuzi

B0DI YA AFYA YARIDHISHWA NA UJENZI WA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA

NA YEREMIAS  NGERANGERA….NAMTUMBO. Bodi ya afya katika Halmashuri ya wilaya ya  Namtumbo mkoani Ruvuma imeridhishwa na ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za afya  katika Halmashauri hiyo. Akiogea wakati wa majumuisho ya ziara ya kukagua ujenzi wa vituo vya kutolea huduma za afya  mjumbe wa bodi ambaye pia ni diwani wa kata ya Magazini bwana Saidi Ligulu alisema bodi ya afya  ya wilaya imeridhishwa na ujenzi  wa vituo vya kutolea huduma za afya zilizokaguliwa na bodi hiyo. Aidha bwana...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA MATIBABU MKOANI RUKWA WAPEWA ELIMU YA UTARATIBU WA MIKOPO MBALIMBALI INAYOTOLEWA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Smythies Pangisa akichangia na kufunga Semina maalum ya siku moja iliyoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kuwaelimisha wadau wa vituo mbalimbali vya kutolea huduma za matibabu Mkoani Rukwa juu utaratibu wa Mfuko huo katika kutoa mikopo ya vifaa tiba, dawa na ukarabati wa vituo vya kutolea huduma za matibabu. Lengo kuu la utaratibu huo ulioanzishwa na Mfuko wa Bima ya Taifa ni kuboresha huduma za matibabu kwa wanachama wake na watanzania kwa ujumla....

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je roboti zinatumika vipi kwenye vituo vya Covid-19 Rwanda?

Rwanda imesema kuwa tayari inatumia roboti katika kuzuwia maambukizi ya virusi vya corona kwenye vituo vya ugonjwa huo

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI CCBRT AKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA HOSPITALI, VITUO VYA AFYA 22

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi,  leo hii amekabidhi vifaa maalumu vya kujikinga na virusi vya Corona usoni (Face Shields) vipatavyo 150 kwa hospitali na vituo vya afya 22 katika Manispaa za mkoa wa Dar es Salaam.
Lengo la CCBRT ni kuunga mkono juhudi za Serikali na wadau wengine hapa nchini katika kuwakinga wahudumu wa afya na janga la Corona. 
“Tumekusudia vifaa hivi vitumike katika vitengo vya afya ya uzazi katika hospitali hizo ili kuwakinga wahudumu wa afya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je vipimo vya kugundua virusi vya corona vinafanya kazi vipi?

Vipimo vya kugundua virusi vya corona ni vipi na vinafanyakazi namna gani?

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAMWELWE AITAKA LATRA KUCHUKUA HATUA KUKABILIANA NA CORONA KWENYE VITUO VYA MABASI

Charles James, Globu ya JamiiSERIKALI imeziagiza Halmashauri za Majiji na Miji kukaa na Mamlaka za Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA) ili kuweka utaratibu maalum ambao utadhibiti mrundikano na wingi wa watu kwenye vituo vikuu vya mabasi.
LATRA na Halmashauri hizo zimepewa siku tatu kuhakikisha zinaratibu agizo hilo ikiwa ni hatua za serikali katika kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo, Waziri wa Ujenzi,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kwa nini Mombasa imeathirika zaidi na ugonjwa wa Covid-19?

Mji wa Mombasa ni miongoni mwa sehemu zenye waathirika wengi wa virusi vya corona Kenya, tatizo liko wapi?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani