Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Hakuna miujiza katika kuboresha elimu’

Profesa Eustella BhalalusesaKAMISHNA wa Elimu kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Eustella Bhalalusesa amesema hakuna miujiza katika kuboresha elimu nchini, ikiwa walimu nchini hawajatayarishwa kutoa elimu bora na kujengewa misingi ya kupenda kazi yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kampeni za elimu bure zitasaidia kuboresha elimu yetu?

Kipindi cha kampeni za uchaguzi zinapokaribia, ni wakati muhimu sana kwa wananchi kuongeza umakini katika kusikiliza na kuamua ipi ni hoja au ahadi ya msingi kwa mustakbali wa nchi yetu.

 

9 years ago

Michuzi

VETA YASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA WATAALAM WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA UNAOFANYIKA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA AFRIKA JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA TAREHE 27 HADI 31 OKTOBA,2015

Katibu Mtendaji wa Tume ya Sayansi, Ufundi na Utafiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Ahmed Hamdy akimsikiliza kwa makini mwanafunzi Abubakar Masandiko  wakati anaelezea ubunifu huo wa kuwasha na kuzima taa kwa kutumia remote katika maonesho hayo.Naibu Waziri wa Elimu wa nchini Somalia, Bw. Hamud Ally Hassan akimpongeza mwanafunzi Abubakar Masandiko kwa ubunifu wake uliotokana na elimu ya tehama anayoendelea kuipata katika chuo cha VETA Kipawa.Mwanafunzi wa chuo cha VETA Kipawa Bw. Abubakar...

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Shein aahidi kuboresha elimu Pemba

imageNa Esther Mbussi, Zanzibar

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohamed Shein, ameahidi kutoa kompyuta na kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi katika shule za sekondari Kusini Unguja.

Akizungumza katika mkutano wa kampeni eneo la Paje, Kusini Unguja Dk. Shein alisema kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi kutasaidia kuongeza ufaulu wa masomo hayo.

“Serikali itaboresha sekta ya elimu kwa kujenga shule na tayari tunamalizia shule 22 tulizoanza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nini kifanyike kuboresha elimu nchini?

ELIMU ni njia inayotumiwa na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. Walimu katika taasisi za elimu huratibisha elimu ya wanafunzi wao kupitia masomo ya...

 

10 years ago

Habarileo

Bilal: Serikali itaendelea kuboresha elimu nchini

Makamu wa Rais, Dk Ghalib BilalSERIKALI imesema kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu, itaendelea kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia ili kutoa elimu bora na inayowatayarisha watanzania kujiajiri na kuajiriwa katika sekta ya umma na sekta binafsi.

 

11 years ago

Habarileo

Nalopa wazungumzia sekta binafsi kuboresha elimu

SERIKALI imeombwa kushirikisha sekta binafsi katika uandaaji wa mitaala ya kitaaluma na usahihishaji wa mitihani kwa shule za msingi, sekondari na vyuo kuboresha mitaala hiyo na kuinua kiwango cha elimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kata ya Ilala yataja mikakati kuboresha elimu

Uongozi wa Kata ya Ilala upo katika mchakato wa kuhakikisha watoto 446 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wanasoma ndani ya kata hiyo, badala ya kuwa kama ilivyo sasa ambapo wanalazimika kusafiri umbali mrefu kufuata shule zilipo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kibarua cha kuboresha elimu kwa Serikali ya Dk Magufuli

Kesho kutwa,  Dk John Magufuli ataapishwa kuwa  Rais wa awamu ya tano, akiwa amebeba ahadi nyingi kwa Watanzania ikiwamo ile ya Serikali yake kutoa elimu bure kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani