Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kata ya Ilala yataja mikakati kuboresha elimu

Uongozi wa Kata ya Ilala upo katika mchakato wa kuhakikisha watoto 446 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wanasoma ndani ya kata hiyo, badala ya kuwa kama ilivyo sasa ambapo wanalazimika kusafiri umbali mrefu kufuata shule zilipo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Serikali yataja mikakati ya kulipa madeni ya walimu

SERIKALI imeweka bayana mikakati yake ya kukabiliana na deni la walimu, ambao ni sehemu kubwa ya watumishi wake.

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA UTALII YATAJA MIKAKATI ENDELEVU 10 KUINUA UTALII KATIKA MLIPUKO WA CORONA


Mwenyekiti wa Bodi ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano wa Bodi uliofanyika Jijini Dar es Salaam Aprili, 29, 2020.Wajumbe wa Bodi wakifuatilia Mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa Bodi ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas uliofanyika Jijini Dar es Salaam Aprili, 29, 2020.Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii (TTB), Bi. Devotha Mdachi akifafanua jambo kwa waandishi wa...

 

9 years ago

MillardAyo

UKAWA na mikakati ya kupata Meya wa Kinondoni na Ilala imefikia hapa…

Leo viongozi wa CHADEMA wamekutaka na kuzungumza mambo mbalimbali mbele ya waandishi wa habari. Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salum Mwalimu amezungumzia mchakato wa kuwapata Mameya watakaowakilisha Wilaya za Kinondoni na Ilala. Upatikanaji wa Meya wa Ilala na Kinondoni wamejibu kuwa..“CCM inaendeleza falsafa yao ile ile ya kujiona wao wanaweza wakapindisha mambo kadri wawezavyo, leo […]

The post UKAWA na mikakati ya kupata Meya wa Kinondoni na Ilala imefikia hapa… appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU MTENDAJI MKUU BRN AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA KILIMO

Naibu Mtendaji Mkuu kutoka Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Mtokeo Makubwa Sasa! (BRN), Peniel Lyimo akizungumza katika mkutano wa wadau wa kilimo ulioandaliwa na taasisi ya ACT na kuhusisha wadau zaidi ya 100 wa sekta ya kilimo nchini ambapo alieleza jinsi BRN inavyosaidia kuboresha mazingira ya uwekezaji katika biashara na kilimo. Baadhi ya washiriki wa warsha ya wadau wa kilimo iliyoandaliwa na Baraza la Uwezeshaji Kilimo Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Kampeni za elimu bure zitasaidia kuboresha elimu yetu?

Kipindi cha kampeni za uchaguzi zinapokaribia, ni wakati muhimu sana kwa wananchi kuongeza umakini katika kusikiliza na kuamua ipi ni hoja au ahadi ya msingi kwa mustakbali wa nchi yetu.

 

9 years ago

StarTV

Jeshi la polisi laombwa kuboresha mikakati Ili Kudhibiti Ajali Za Barabarani  

 

Siku moja baada ya ajali ya basi kugongana na Lori la mafuta na kusababisha vifo vya watu 12 papo hapo na kujeruhi wengine 18 mkoani Singida, baadhi ya wanachi wameliomba Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani, kuangalia upya mikakati yake kudhibiti tatizo hilo nchini.

Ajali hiyo ilitokea jana Jumanne majira ya saa 1:30 usiku katika eneo la Kizonzo- Shelui Wilaya ya Iramba barabara kuu ya Singida-Mwanza na kulihusisha basi la Kampuni ya TAKBIIRY lenye namba za usajili T. 230 BRJ...

 

5 years ago

Michuzi

OFISA ELIMU NYASA AWACHARUKIA WALIMU WAKUU NA MAAFISA ELIMU KATA



Ofisa Elimu msingi Wilaya ya Nyasa Bw. Said Kalima akiongea na Walimu wakuu na Maafisa Elimu kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa jana, Katika ukumbi wa Kasimu Majaliwa ulioko katika shule ya Sekondari Mbamba-bay wilayani hapa.Amewaagiza walimu hao kufundisha kwa bidii na kutomvumilia mwalimu mzembe na kupandisha ufaulu ufikie asilimia mia moja kwa Wilaya ya nyasa,kuanzia mwaka huu 2020 na kuendelea.

……………………………………………………………………………………….

Ofisa Elimu Msingi wa Wilaya ya Nyasa Said Kalima,...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF LINDI WATOA ELIMU KATA KWA KATA KWA WANACHAMA WAKE,SANJARI NA UPIMAJI WA AFYA BURE KWA WANANCHI WILAYANI RUANGWA

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Ofisi ya Mkoa wa Lindi,Fortunata Raymond akitoa Mada ya Maboresho yanayotekelezwa na Mfuko hususani kitita cha Mafao kwa Wanachama katika Kata namichiga Wilayani Ruangwa ambapo pia aliwataka kutumia Mkutano huo kubainisha Changamoto hasi na Chanya zitakazowezesha Maboresho Ya Huduma Za Matibabu Sambamba Na Sekta Ya Afya Kwa Ujumla,Kushoto Katikati Ni Mtendaji Kata Ya Namichiga Richard Nnonjela Na Kushoto Kabisa Ni Mwalimu Mkuu Wa Shule...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani