Jeshi la polisi laombwa kuboresha mikakati Ili Kudhibiti Ajali Za Barabarani Â
Siku moja baada ya ajali ya basi kugongana na Lori la mafuta na kusababisha vifo vya watu 12 papo hapo na kujeruhi wengine 18 mkoani Singida, baadhi ya wanachi wameliomba Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani, kuangalia upya mikakati yake kudhibiti tatizo hilo nchini.
Ajali hiyo ilitokea jana Jumanne majira ya saa 1:30 usiku katika eneo la Kizonzo- Shelui Wilaya ya Iramba barabara kuu ya Singida-Mwanza na kulihusisha basi la Kampuni ya TAKBIIRY lenye namba za usajili T. 230 BRJ...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-3Jo95vfuA-s/VMvVLVUAzkI/AAAAAAAAnf8/rEg_fm-9IRY/s72-c/2%2B(4).png)
Mh.Mbatia: Jeshi la polisi lifanyiwe marekebisho ya kimfumo ili kuboresha utendaji wake
![](http://4.bp.blogspot.com/-3Jo95vfuA-s/VMvVLVUAzkI/AAAAAAAAnf8/rEg_fm-9IRY/s640/2%2B(4).png)
Mh. Mbatia emeongeza kuwa ili chaguzi zijazo ziwe za amani na...
9 years ago
StarTV23 Dec
Jeshi la Polisi laombwa kuweka ulinzi maalumu kuwalinda watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino)
Chama watu wenye ulemavu wa ngozi Albino Mkoa wa Tanga kimeliomba jeshi la polisi kuweka ulinzi maalumu kwenye maeneo yenye walemavu hao kama sehemu ya kukabiliana na ukataji wa viungo na mauaji ya watu hao.
Kauli ya chama hicho imekuja baada ya mlemavu mwenzao wa ngozi Ester Maganga mkazi wa wilaya ya Lushoto kukatwa kidole chake cha mkono wa kusoto kwa imani za kishirikina.
Katibu wa chama cha Albino Mkoa wa Tanga, Mahmud Salekhe amesema kitendo cha Mwenzao Ester Maganga mkazi wa...
9 years ago
MichuziJESHI LA POLISI LAANZA KUTOA ELIMU KWA ABIRIA NA MADEREVA ILI KUKABILIANA NA AJALI KATIKA KIPINDI CHA MWISHO WA MWAKA
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Tuungane kudhibiti ajali za barabarani
TUMEKUWA tukiandika maoni kuitaka serikali kuchukua hatua kukomesha ajali za barabarani na tutaendelea kufanya hivyo hadi hapo tutakapoona hatua madhubuti zimechukuliwa kukabiliana na wimbi la ajali, ambazo kila mara zimepoteza...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-D7aBEz9MuL8/U9_aEPYUiaI/AAAAAAAF9G0/M2R0rh4cXiU/s72-c/IMG-20140802-WA0008.jpg)
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM: ASKARI POLISI FEKI WA USALAMA BARABARANI ALIYEKUWA ANATAPELI WANANCHI AKAMATWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-D7aBEz9MuL8/U9_aEPYUiaI/AAAAAAAF9G0/M2R0rh4cXiU/s1600/IMG-20140802-WA0008.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-kD77rECHH3Y/U9_aIYYQvLI/AAAAAAAF9G8/E7ptUtKJJIw/s1600/IMG-20140802-WA0009.jpg)
9 years ago
Habarileo18 Dec
Polisi yawaangukia abiria kudhibiti ajali
POLISI mkoani Katavi kupitia kikosi cha Usalama Barabarani imezindua kampeni inayowataka abiria kushirikiana kudhibiti na kupunguza ajali za barabarani hasa kipindi cha kuelekea siku za Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.
10 years ago
BBCSwahili02 Nov
Jeshi laombwa kurudisha mamlaka kwa raia
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Jeshi la Polisi laja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii.
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahmani Kaniki akisalimiana na askari Polisi wa wa jeshi hilo. (Picha ya Maktaba).
Na Tamimu Adam, wa Jeshi la Polisi.
Jeshi la polisi nchini, limeanzisha mpango wa kuboresha usalama wa
jamii nchi nzima ambao unalenga kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wananchi, kuboresha mawasiliano ya ndani na nje ya Jeshi la polisi kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa usalama
ambapo mpango huo utaanza kutekelezwa katika mkoa wa kipolisi kinondoni ...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4KcAgOw8Otw/Vmcaafolj-I/AAAAAAAILEw/VeNQY3lq9W8/s72-c/download.jpg)
Jeshi la Polisi laja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii.
![](http://1.bp.blogspot.com/-4KcAgOw8Otw/Vmcaafolj-I/AAAAAAAILEw/VeNQY3lq9W8/s400/download.jpg)
Akihitimisha maabara ya mpango huo iliyofanya kazi kwa...