Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi yawaangukia abiria kudhibiti ajali

POLISI mkoani Katavi kupitia kikosi cha Usalama Barabarani imezindua kampeni inayowataka abiria kushirikiana kudhibiti na kupunguza ajali za barabarani hasa kipindi cha kuelekea siku za Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Jeshi la polisi laombwa kuboresha mikakati Ili Kudhibiti Ajali Za Barabarani  

 

Siku moja baada ya ajali ya basi kugongana na Lori la mafuta na kusababisha vifo vya watu 12 papo hapo na kujeruhi wengine 18 mkoani Singida, baadhi ya wanachi wameliomba Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani, kuangalia upya mikakati yake kudhibiti tatizo hilo nchini.

Ajali hiyo ilitokea jana Jumanne majira ya saa 1:30 usiku katika eneo la Kizonzo- Shelui Wilaya ya Iramba barabara kuu ya Singida-Mwanza na kulihusisha basi la Kampuni ya TAKBIIRY lenye namba za usajili T. 230 BRJ...

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAANZA KUTOA ELIMU KWA ABIRIA NA MADEREVA ILI KUKABILIANA NA AJALI KATIKA KIPINDI CHA MWISHO WA MWAKA

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani,Inspekta Ibrahim Omary Samwi(kushoto), na PC Elisante Bura(kulia), wakikagua moja ya magari yanayofanya safari zake mikoani, kutekeleza mkakati wa Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani kudhibiti ajali kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka.Zoezi hili limefanyika muda mfupi kabla ya magari kuondoka katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo,jijini Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali ya Tanzania.Askari wa Kikosi cha Usalama...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tuungane kudhibiti ajali za barabarani

TUMEKUWA tukiandika maoni kuitaka serikali kuchukua hatua kukomesha ajali za barabarani na tutaendelea kufanya hivyo hadi hapo tutakapoona hatua madhubuti zimechukuliwa kukabiliana na wimbi la ajali, ambazo kila mara zimepoteza...

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra waanza kudhibiti nauli, ajali

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeanza mikakati ya kudhibiti kupandishwa kwa nauli wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka nchi nzima pamoja na kudhibiti ajali.

 

10 years ago

Vijimambo

ABIRIA 42 KATI YA 67 WAFA AJALI YA IRINGA

Miongoni mwa manusura 22 wa ajali ya basi la Majinja lenye namba za usajili T438 CED wakiwa wamelazwa katika hospitali ya Mkoa Iringa kwa matibabu. Abiria 42 walipoteza maisha katika ajali hiyo.Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Barabarani mkoa wa Iringa, Salim Asas Abri (kulia) akiwa na viongozi wengine wakiwajulia hali manusura wa ajali hiyo.Kontena lilokuwa limepajkiwa katika lori la mizigo Scania namba T 689 APJ, mali ya Cipex Company likiwa limelalia juu ya basi lenye namba za...

 

10 years ago

Mwananchi

Abiria 18 wateketea ajali ya basi, lori

Watu 18 wameteketea kwa moto baada ya basi la Kampuni ya Nganga Express na lori aina ya Fuso kugongana uso kwa uso na kuwaka moto katika eneo la Iyovi, Milima ya Uduzungwa, Morogoro

 

10 years ago

Mwananchi

‘Abiria chanzo cha ajali za mabasi’

Kamati ya watu 14 iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kufuatilia chanzo cha ongezeko la ajali za mabasi, imebaini kuwa abiria wanashawishi madereva kuendesha mabasi kwa kasi na hivyo kuwa sehemu ya sababu za kuongezeka kwa ajali.

 

9 years ago

Habarileo

Abiria wapewa namba za simu kuzuia ajali

KAMATI ya Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na Mtandao wa Mabalozi wa Usalama Barabarani, imetoa namba za simu kwa abiria wakati wakizindua kampeni yao ya ‘Abiria Paza Sauti’. Kampeni hiyo inayolenga kupunguza ajali wakati wa sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya, ilizinduliwa juzi katika stendi ndogo ya mabasi yaendayo mikoa ya Ipogolo, mjini Iringa.

 

10 years ago

Habarileo

Abiria ajali ya moto wazikwa kaburi moja

Maziko ya mabaki ya miili ya abiria waliokuwa katika basi la Nganga lililoungua moto baada ya kugongana na Fuso mkoani Morogoro, yakifanyika katika kaburi la pamoja.MAELFU ya wakazi wa Tarafa ya Kidatu wilaya ya Kilombero na Mikumi, wilayani Kilosa mkoani Morogoro, walijawa na simanzi kubwa zilizotawaliwa na vilio wakati wa maziko ya miili ya watu 15 waliozikwa jana kwenye kaburi moja, ikiwa ni siku moja baada ya kufa kwa kuteketea kwa moto baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Kampuni ya Nganga Express kulipuka lililopogongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani