Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nini kifanyike kuboresha elimu nchini?

ELIMU ni njia inayotumiwa na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. Walimu katika taasisi za elimu huratibisha elimu ya wanafunzi wao kupitia masomo ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Zitto Kabwe, MB

Nini kifanyike Tanzania?

Nini kifanyike Tanzania?

Zitto Kabwe

nyerere

Hali yetu ya sasa
Ni dhahiri kuwa hofu imetanda miongoni mwa Watanzania. Ingawa watawala na mashabiki wao hukanusha jambo hili, ukweli ni kuwa nina amini wao wenyewe ndani ya mioyo yao wanakiri kuwa nchi sasa inaendeshwa kwa hofu na wananchi wamejaa hofu kubwa.

Hivi sasa mwananchi akifanya jambo lolote linaloonekana kuwa kinyume na fikra za watawala, wenzake wanamtazama kwa jicho kuwa atakuwa mhanga wa vitisho, mateso, kutekwa, kupotea ama kubambikiwa...

 

11 years ago

Ykileo

UHALIFU MTANDAO NI TISHIO - NINI KIFANYIKE?

Uhalifu mtandaoo bado ni tatizo si tu katika nchi ya Tanzania bali Afrika na hata Duniani kwa ujumla. Hali imekua ni mbaya na bado jitihada za dhati zinaendelea kimataifa ili kukabiliana na uhalifu mtandao.  Kwa upande wa Tanzania midahalo imekua ikiendelea ikiwa ni katika kukuza uwelewa kwa watanzania juu ya maswala ya uhalifu mtandao. mchango wa vyombo vya habari katika kuelimisha jamii umeendelea kukua hivi sasa. Hili nilipata kulifafanua kupitia Mada niliyoiandikia kwa jina la unao...

 

10 years ago

Mwananchi

Kifanyike nini mihimili ya dola inapokinzana?

Tumeshuhudia kwa mara ya kwanza tangu nchi yetu ipate uhuru mwaka 1961, mihimili ya dola, yaani Mahakama, Bunge na Serikali ikigongana na kukinzana katika suala muhimu la kitaifa, huku ikiibua mashaka kuhusu tafsiri ya dhana ya mgawanyo wa madaraka miongoni mwa mihimili hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Bilal: Serikali itaendelea kuboresha elimu nchini

Makamu wa Rais, Dk Ghalib BilalSERIKALI imesema kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu, itaendelea kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia ili kutoa elimu bora na inayowatayarisha watanzania kujiajiri na kuajiriwa katika sekta ya umma na sekta binafsi.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Bunge EALA limesambaratika, nini kifanyike?

>Siyo siri tena kwamba Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limesambaratika kutokana na wabunge wake kuendekeza migogoro na hatimaye kukwamisha shughuli za Bunge hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nini kifanyike kuzuia unene kupita kiasi?

MAFUTA ni kiungo muhimu kinachokipa chakula hadhi na kutengeneza ladha nzuri. Pia hutoa vitamini muhimu na vitamini-mafuta mumunyifu. Bila shaka kila mtu anafurahia kula vyakula vya kukaanga na vyenye jibini,...

 

9 years ago

Vijimambo

Unadhani nini kifanyike kutatua matatizo ya walimu Tanzania?


Mbunge sharobaro kutoka Kenya Mike Mbuvi Sonko na Mwenzake Moses Wetang'ula, wamesema wako tayari wakatwe mishahara yao ili serikali iweze kulipa mishahara ya walimu wanayodai.
Unadhani nini kifanyike kutatua matatizo ya walimu Tanzania?

 

10 years ago

Bongo Movies

Nisha: Wezi Wa Kazi Zetu Wanatushusha....Shabiki Nini Kifanyike?

Ikiwa ni  siku tatu tu! zimebaki kutoa  movie yake mpya HAKUNA MATATA mwigizaji wa kike wa filam hapa bongo, Salma Jabu Nisha kupitia mtandaoni ameonyesha kuumizwa naswala zima la wezi wa kazi za wasanii hapa nchini na kusema ndio kitu pekee kinachaowarudisha nyuma, katika kuelezea swala hilo akaomba mchango wa mawazo ya jinsi ya kulitatua taizo hili.

Nanukuu;

"Swala la msanii kuibiwa ni swala sugu sana,wewe shabiki yetu tukipotea kwenye tasnia utajiskiaje?

Kikubwa kazi zetu zinaibiwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mjadala: kifanyike nini kupunguza ama kukomesha ajali barabarani??

Taswira hii inayosambaa kila pembe katika mitandao ya jamii na Globu ya Jamii kuipata ndiyo chachu ya mjadala wetu ambao mdau unaombwa kuchangia bila kuchafua hali ya hewa. Ukweli ni kwamba THIS IS TOO MUCH! Ni lazima kifanyike kitu ama lifanyike jambo kukomesha maafa ya kila mara nchini kutokana na ajali za barabarani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani