Mjadala: kifanyike nini kupunguza ama kukomesha ajali barabarani??

Taswira hii inayosambaa kila pembe katika mitandao ya jamii na Globu ya Jamii kuipata ndiyo chachu ya mjadala wetu ambao mdau unaombwa kuchangia bila kuchafua hali ya hewa. Ukweli ni kwamba THIS IS TOO MUCH! Ni lazima kifanyike kitu ama lifanyike jambo kukomesha maafa ya kila mara nchini kutokana na ajali za barabarani.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Utafiti usaidie kupunguza ajali za barabarani
11 years ago
Mwananchi21 Oct
Tehama inaweza kupunguza ajali za barabarani
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
Jamii yatakiwa kushiriki kupunguza ajali za barabarani
Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati akifungua semina hiyo Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi.
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi (kulia), akizungumza katika semina hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed kufungua semina hiyo.
Ofisa Mradi wa Usalama Barabarani wa Shirika la...
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Tafiti za wataalamu zitusaidie kupunguza ajali za barabarani-2
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Warsha ya kupunguza vifo na majeruhi wa ajali za Barabarani yafanyika jijini Dar
Kamishina Msaidizi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Johansen Kahatano akifungua rasmi warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo vinavyotokana na ajali za barabarani iliyoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la AMEND na kufadhiliwa na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya EU warsha hiyo imefanyika kwenye jengo la Umoja House jijini Dar es salaam.
Gianluca Azzon Mwakilishi wa EU Nchini Tanzania, akiwasilisha mada katika warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo...
10 years ago
Michuzi21 Jul
WARSHA YA KUPUNGUZA VIFO NA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM


10 years ago
GPL
WARSHA YA KUPUNGUZA VIFO NA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Dewji Blog08 Sep
Sikiliza mjadala ulioongozwa na Mjengwa redioni ukiwa na mada ni nini tunajifunza kwa ajali ya Musoma?
Kwa kusikiliza mjadala huo bofya hapa
5 years ago
Zitto Kabwe, MB13 Feb
Nini kifanyike Tanzania?
Nini kifanyike Tanzania?
Zitto Kabwe
Hali yetu ya sasa
Ni dhahiri kuwa hofu imetanda miongoni mwa Watanzania. Ingawa watawala na mashabiki wao hukanusha jambo hili, ukweli ni kuwa nina amini wao wenyewe ndani ya mioyo yao wanakiri kuwa nchi sasa inaendeshwa kwa hofu na wananchi wamejaa hofu kubwa.
Hivi sasa mwananchi akifanya jambo lolote linaloonekana kuwa kinyume na fikra za watawala, wenzake wanamtazama kwa jicho kuwa atakuwa mhanga wa vitisho, mateso, kutekwa, kupotea ama kubambikiwa...