Tafiti za wataalamu zitusaidie kupunguza ajali za barabarani-2
Hoja yangu wiki iliyopita ilihusu mjadala wa ajali za barabarani ambazo zinaendelea kupoteza maisha ya maelfu ya Watanzania kila kukicha. Nilisema kuwa takwimu za Jeshi la Polisi zinaonyesha takriban watu 300 hupoteza maisha kila mwezi kutokana na ajali za barabarani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Utafiti usaidie kupunguza ajali za barabarani
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Tehama inaweza kupunguza ajali za barabarani
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
Jamii yatakiwa kushiriki kupunguza ajali za barabarani
Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati akifungua semina hiyo Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi.
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi (kulia), akizungumza katika semina hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed kufungua semina hiyo.
Ofisa Mradi wa Usalama Barabarani wa Shirika la...
10 years ago
MichuziMjadala: kifanyike nini kupunguza ama kukomesha ajali barabarani??
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Warsha ya kupunguza vifo na majeruhi wa ajali za Barabarani yafanyika jijini Dar
Kamishina Msaidizi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Johansen Kahatano akifungua rasmi warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo vinavyotokana na ajali za barabarani iliyoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la AMEND na kufadhiliwa na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya EU warsha hiyo imefanyika kwenye jengo la Umoja House jijini Dar es salaam.
Gianluca Azzon Mwakilishi wa EU Nchini Tanzania, akiwasilisha mada katika warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo...
10 years ago
Michuzi21 Jul
WARSHA YA KUPUNGUZA VIFO NA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
GPLWARSHA YA KUPUNGUZA VIFO NA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
StarTV15 Nov
Wataalamu wa afya wahimizwa kutumia taaluma zao kwakufanya tafiti
Wataalamu wa Sekta ya afya nchini wanapaswa kutumia taaluma yao kutafiti na kugundua visababishi vya magonjwa mbalimbali yanayoathiri jamii hali itakayosaidia Serikali kukabiliana na magonjwa husika.
Tafiti zinaonyesha kuwa magonjwa mengi yamekuwa yakiikumba jamii kutokana na kukosekana kwa watalaamu wa kubaini visababishi vya maradhi hayo.
Mkuu wa chuo kikuu kishiriki cha Sayansi ya tiba cha KCMU College kilichopo mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro Prof.Elgibert Kessy anaona ipo haja kwa...
11 years ago
Dewji Blog28 Jul
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaendesha warsha ya uandishi bora wa tafiti kwa wataalamu wake
Aziz Kilonge Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa kufunga warsha ya mafunzo ya uandishi bora wa tafiti ili kukidhi hitaji la msingi la kuhitimu taaluma ya ununuzi na ugavi iliyoratibiwa na kuendeshwa na Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kuazia tarehe 21 julai mpaka 25 julai 2014. kwenye ukumbi wa baraza la maaskofu TEC-Kurasini jijini Dar es salaam akiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi, washiriki...