Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke aliyeanzisha shirika la kuwafaa watoto

Esther Kalenzi alianzisha shirika la kuwasaidia watoto Uganda la 40 days over 40 miles na ni mmoja wa mashujaa waliosahaulika Afrika.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NELICO NA MABARAZA YA WATOTO WILAYA YA GEITA WAFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO KATIKA SHIRIKA LA KIVULINI

Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana la KIVULINI akitoa historia ya shirika la KIVULINI kwa wawakilishi wa mabaraza ya watoto mara baada ya kutembelea ofisi za shirika hilo hapo jana. KIVULINI ni shirika lisolo la kiserikali linalofanya shughuli za kupinga na kutetea Haki za Wanawake na Wasichana katika mikoa yote ya kanda ya ziwa pamoja na mkoa wa Singida tangu mwaka 1999. Afisa Utetezi na Mitandao ya Kijamii toka Shirika la KIVULINI Bi. Khadija Liganga...

 

11 years ago

Mwananchi

Maryam Hamdani: Mwanaharakati aliyeanzisha Tausi Women’s Taarab

>Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, mwanaharakati ambaye ameanzisha kikundi cha muziki wa taarab cha Tausi Women’s Taarab, amesema uamuzi wake una lengo la kuonyesha vipaji walivyonavyo wanawake na kuongeza chachu ya mabadiliko kijinsia.

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE ADAIWA KUTEKA WATOTO

Mama anayefahamika kwa jina la Sara Zoya akiwa na watoto wake, Imani (14) na Leila (5). Stori: Shani Ramadhani
Mama mmoja, Sara Zoya mkazi wa Mabibo Makuburi, jijini Dar es Salaam amekimbilia polisi na kudai kuwa watoto wake walitekwa na ndugu yake  kisha kupelekwa kusikojulikana baada ya kufukuzwa kwenye nyumba yao ya familia. Sara alidai kuwa ndugu yao huyo aliyefanya kitendo hicho cha utekaji ni Hilda Zoya ambaye anadai...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke anayewezesha watoto Malawi

Monica Makeya Dzonzi husimamia kituo cha Ayise Bangwe nchini Malawi ambacho huandaa mafunzo ya kompyuta, michezo na ujuzi wa kujikimu kimaisha.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke mjasiriamali anayeangazia chakula cha watoto

Marie Diongoye Konaté huendesha kampuni pekee ya uzalishaji wa chakula cha kiasili Ivory Coast na ameonyesha kwamba inawezekana kwa wanawake barani kufanikiwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la TMEP lasaidia kupunguza mimba kwa watoto wa shule Singida

DSC04505

Afisa ufuatiliaji TMEP makao makuu jijini Dar-es-salaam, George John akizungumza kweye hafla ya kukabidhi nradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi na ujinsia kwa viongozi wa tarafa ya Nkonko wilaya ya Manyoni pamoja na kata zake kwa ajili ya kuuendeleza. Kwa mujibu wa George, mradi huo umesaidia kuondoa mimba mashuleni kwa kiwango kikubwa. Kulia ni afisa kutoka shirika la YMCA, Msuya na kushoto ni diwani wa kata ya Heka tarafa ya Nkonko. DSC04482 Baadhi ya waratibu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la WOWAP lawafunda vijana Singida kukabiliana na ukeketaji kwa watoto wa kike

DSC04309

Mratibu wa mradi wa kutokomeza ukeketaji kwa njia ya majadiliano mkoa wa Singida, Zuhura Karya, akihamasisha wanavikundi wa vijana na wanawake kata ya Sepuka jimbo la Singida magharibi kuongeza juhudi katika kupambana na vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike. Kwa mujibu wa mratibu Karya, kwa sasa hali ni mbaya zaidi kwa vile vitoto vichanga vinakeketwa kwa kucha.

DSC04310

Baadhi ya wanavikundi wa wanawake wa kata ya Sepuka jimbo la Singida magharibi,wakifuatilia elimu juu ya madhara yatokanayo...

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE ALIYEJIFUNGUA WATOTO WANNE KWA MKUPUO APATA MSAADA

Mkurugenzi wa Shule ya Sekondari ya Vanessa (kushoto) iliyopo Isyesye Jijini Mbeya, Shukrani Gidion akimkabidhi Godoro Aida Nakawala mama aliyejifunguwa watoto wanne.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamke aliye kwenye ndoa anaweza kuamua kutopata watoto ?

Wanja Kimani hana hamu ya kupata watoto wakati Hazel Gachoka alitumia mamilioni ya fedha ili aweze kujaliwa kupata watoto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani