Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha za umati Ukawa zamshtua JK

kkNA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

RAIS Jakaya Kikwete ameonyesha kuhofia nguvu ya upinzani, baada ya kudai picha zinazotolewa na vyombo mbalimbali vya habari zikionyesha mahudhurio makubwa ya wananchi katika mikutano ya hadhara ya mgombea wa urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chadema, Edward Lowassa si halisi.

Licha ya Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutomtaja moja kwa moja Lowassa, alidai  picha za mgombea huyo ambazo zinaonyesha umati...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Alikiba avuta umati wa zaidi ya watu elfu 10 Machakos, Kenya

MAIN SHOW 31ST-2901 (800x533)

Alikiba ana mashabiki lukuki nchini Kenya.

MAIN SHOW 31ST-2901 (800x533)

Na ndio maana weekend hii, muimbaji huyo wa Mwana aliukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuvuta nyomi huko Machakos.

MAIN SHOW 31ST-2893 (800x533)

“Show imepata mahudhurio makubwa ya wapatao watu zaidi ya 10,000,” msemaji wake ameiambia Bongo5.

“Ilihudhuriwa na viongozi wa serikali ya county ya Machakos akiwepo Gavana na familia yake. Aliperform kuanzia 00:00 mpaka 03:00.”

Jionee picha zaidi.

MAIN SHOW 31ST-3441 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-2899 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-2912 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-2960 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-2968 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-3155 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-3256 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-3277 (800x533)

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mimba za wanafunzi zamshtua JK

RAIS Jakaya Kikwete ameshtushwa na kiwango kikubwa cha wanafunzi katika Mkoa wa Ruvuma kushindwa kumaliza shule kwa sababu mbalimbali ukiwemo utoro na mimba. Utoro na mimba za wanafunzi ni mambo...

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Matukio katika Picha CCM v UKAWA

Kisonge wameuliza Swali Lowasa wa ZNZ anasubiri nini? Magari yakisubiri kuhamisha watu wakajaze mkutano.

The post Matukio katika Picha CCM v UKAWA appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA UKAWA ZANZIBAR KATIKA PICHA

Viongozi wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakiwa wameshikana mikono na Mgombea wa Urais wa Ukawa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa na Makamu wake, Dkt. Juma Haji Duni pamoja na Maalim Seif Sharif Hamad anaewania Urais wa Zanzibar, wakati wakitambulishwa kwa wananchi wa Zanzibar, kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti leo Agosti 17, 2015Mgombea Urais wa Zanziba wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia Mkutano wa hadhara...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA UKAWA MKOANI MBEYA LEO

  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa  akiongea na wananchi wa mkoani Mbeya leo alipokuwa ajitambulishwa kama mgombea wa UKAWA. Umati wa watu wakiwemo wafuasi wa vyama vya Siasa vinavyounda UKAWA ukiwa umefurika 
Endelea kutufuatilia kwa matukio zaidi

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA UKAWA MKOANI ARUSHA LEO







ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA :UKAWA WAKINGAZA MAJIMBO WALIYOGAWANA KATIKA UCHAGUZI MKUU

 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi,  Nderakindo Kessy (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho, Ilala Dar es Salaam jana, wakati akitangaza majimbo yaliyochini ya vyama vinavyounda Ukawa ambayo vyama hivyo vitasimamisha wagombea wao katika uchaguzi mkuu. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Masudi Makunjunga. Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Shaweji Mketo (wa pili kulia), akizungumza katika mkutano huo na...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA WAZIRI MKUU MSTAAFU ALIPOTANGAZA KUHAMA KUJIUNGA UKAWA MAPEMA LEO

 Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo mchana. Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Dar es Salaam leo mchana, baada ya kujiunga na chama hicho. Anayeshuhudia katikati ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Sumaye akisisitiza jambo

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA UKAWA WAZINDUA KAMPENI ZAO JANGWANI JIJINI DAR LEO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji wakiwasili kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
 Umati wa wakazi wa Jijini Dar es salaam, ukiwa umefurika kwa wingi kwenye viwanja vya Jangwani kuwalaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani