Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Alikiba azikonga nyoyo za mashabiki wa Kenya kwenye Koroga Festival

KOROGA FESTIVAL-0890

Fresh kutoka kutumbuiza mbele ya mastaa wa Hollywood jijini Los Angeles nchini Marekani kwenye hafla ya Wild Aid, Alikiba weekend iliyoisha alikuwa jijini Nairobi, Kenya kutumbuiza kwenye tamasha la Koroga.

KOROGA FESTIVAL-0890

Kiba aliyekuwa na bendi yake alidondosha show kali iliyosifiwa na maelfu ya wapenzi wa muziki huku akiwapa mashabiki wa kike wakipendacho zaidi kwa kuwaonesha kifua chake cha gym.

KOROGA FESTIVAL-0712

Wakati akitumbuiza wimbo wake Mwana, Kiba aliichana vest yake nyeusi na kuzionesha abs zake mbele ya umati...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MZEE YUSUF AZIKONGA NYOYO ZA MASHABIKI SIKUKUU YA EID MOSI, DAR LIVE

Mzee Yusuf akizikonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya Ukumbi wa Dar Live katika Sikukuu ya Eid Mosi. Mfalme Mzee Yusuf akipelekeshana puta na wanenguaji wake wakati wa shoo hiyo ndani ya Dar Live.…

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba azunguka kwenye daladala Dar kukutana na mashabiki wake (Picha)

Mshindi wa tuzo tano za KTMA 2015, Alikiba amewapa mashabiki wake nafasi ya kuonana naye baada ya kuamua kutumia usafiri wa daladala kuzunguka jijini la Dar es Salaam. Alikiba akishuka kwenye basi la Mbagala Muimbaji huyo wa Chekecha alianza safari yake kwa kupanda daladala ya Kariakoo/Mbagala na kutangaza kwa abiria nia yake ya kupanda daladala […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yakonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya Nyama Choma Festival

DSC_0020

Kikosi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Band, Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake ndani ya viwanja vya Leaders Club kwenye tamasha la Nyama Choma lilifanyika mwishoni mwa wiki. Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Sony Masamba.

DSC_0025

Swagga za Skylight Band hii inafahamika kama “Mashauzi” mkongwe Joniko Flower akiwasebenesha mashabiki wake ( hawapo pichani).

DSC_0030

Asali ya warembo Sam Mapenzi akifanya yake jukwaani kwenye tamasha la...

 

10 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE NDANI YA NYAMA CHOMA FESTIVAL‏

Kikosi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Band, Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake ndani ya viwanja vya Leaders Club kwenye tamasha la Nyama Choma lilifanyika mwishoni mwa wiki. Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Sony Masamba. Swagga za Skylight Band hii inafahamika kama "Mashauzi" mkongwe Joniko Flower akiwasebenesha mashabiki wake ( hawapo...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mashabiki wamshambulia Nonini baada ya kupost picha ya ‘tbt’ akiwa kwenye pozi za kimahaba na Wahu

Katika ule utaratibu wa watu kupost picha za zamani kwenye mitandao ya kijamii na hashtag ya ‘Throw Back Thursday (TBT) kila siku za Alhamisi , Nonini alipost picha aliyopiga zamani na Wahu wakiwa kwenye pozi za kimahaba, kitendo kilichotafsiriwa tofauti na mashabiki waliodai amemkosea heshima Nameless. Wanamuziki Wahu Kagwi na David Mathenge a.k.a Nameless wa […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Alikiba avuta umati wa zaidi ya watu elfu 10 Machakos, Kenya

MAIN SHOW 31ST-2901 (800x533)

Alikiba ana mashabiki lukuki nchini Kenya.

MAIN SHOW 31ST-2901 (800x533)

Na ndio maana weekend hii, muimbaji huyo wa Mwana aliukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuvuta nyomi huko Machakos.

MAIN SHOW 31ST-2893 (800x533)

“Show imepata mahudhurio makubwa ya wapatao watu zaidi ya 10,000,” msemaji wake ameiambia Bongo5.

“Ilihudhuriwa na viongozi wa serikali ya county ya Machakos akiwepo Gavana na familia yake. Aliperform kuanzia 00:00 mpaka 03:00.”

Jionee picha zaidi.

MAIN SHOW 31ST-3441 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-2899 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-2912 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-2960 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-2968 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-3155 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-3256 (800x533)

MAIN SHOW 31ST-3277 (800x533)

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

9 years ago

MillardAyo

Picha za Alikiba kwenye stage ufukweni alivyouaga mwaka 2015…

December 26 2015 stage ya Escape One, Mikocheni Dar es Salaam wakazi wa 88.5  walishuhudia Alikiba akidondosha burudani ya nguvu kama shukrani kwa watu wake waliompokea vizuri kwenye ujio wake mzito wa 2015. Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika show hiyo zitazame hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]

The post Picha za Alikiba kwenye stage ufukweni alivyouaga mwaka 2015… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Alikiba alivyochekecha kwenye stage Machakos Kenya akiagana na mwaka 2015..(+Pichaz)

Wiki moja iliyopita December 26 2015 ilikuwa siku ya kumshuhudia King Kiba kwenye stage Escape 1 Dar es Salaam alipoangusha mzigo mzima wa show ya funga mwaka !! Kazi haikuwa ndogo… Alikiba alishambulia kwa uzito wa juu stage ikitawaliwa kwa live show yenye support ya bendi iliyokamilika pamoja na dancers kadhaa. Kazi ya funga mwaka […]

The post Alikiba alivyochekecha kwenye stage Machakos Kenya akiagana na mwaka 2015..(+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani