Uwoya: Nimeshindwa Kuwa Rubani Sababu ya Filamu
Staa mrembo wa Bongo Movies, Irene Uwoya amesema kuwa filamu zimeharibu mipango yake ya miaka mingi ya kutaka kuwa mwongozaji wa ndege yaani Rubani.
Irene alisema hayo weekend hii kupitia kituo cha Radio cha East Africa Radio na kudai kuwa miaka yote aliyokuwa akisoma lengo lake kubwa lilikuwa ni kuja kuwa muongozaji wa ndege Rubani kwani ndiyo kazi aliyokuwa akiipenda na alianza kusoma masomo ambayo aliamini moja kwa moja yangeweza kumfanya kufikia ndoto hizo.
Amesema ndoto yake hiyo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies31 Dec
Uwoya Anakuja na Filamu ya Funga Mwaka
Mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake katika filamu za Kibongo, Irene Pancaras Uwoya amesema anafunga mwaka na filamu ya kihostoria.
Amini usiamini Uwoya anakuwa mtayarishaji mkubwa wa filamu aliyetengeneza filamu hiyo m kwa gharama kubwa na kuwashirikisha wasanii wakubwa kutoka Afrika Kusini na uturuki inayokwenda kwa jina la Kisoda.
“Najaribu kutoka kimataifa kwa kutengeneza bonge la filamu na yenye wasanii wa kimataifa, naamini itanitoa na kuitoa Tanzania kimasomaso, kwani sikuangalia...
10 years ago
Bongo Movies04 Feb
Irene Uwoya Njia Panda Kuachia Filamu Yake!
Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya amedai kuwa yupo njia panda kuachia filamu yake mpya iitwayo ‘Kisoda’ kutokana na gharama iliyotumika kuiandaa.
Irene amedai kuwa akipata mnunuzi atakayefika bei ya filamu hiyo ataizua na asipopata atakaa nayo hadi soko litakapokaa vyema.
“Bado sijaamua nini cha kufanya,” amesema. “Gharama zangu nilizozitumia ni kubwa sana. Hili kuhusu bei imenitatiza lakini sasa tutaangalia kwa upande wangu akijitokeza mtu wa kuinunua nitamuuzia. Lakini ikishindikana basi...
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Kuendesha ndege ni zaidi ya kuwa na rubani
9 years ago
Mtanzania25 Aug
Anne-Marie Lewis — Si kazi ngumu mwanamke kuwa rubani
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
LICHA ya kwamba uwepo wa wanawake katika sekta ya usafiri wa anga kuwa mdogo, uwezo wa kuwa viongozi katika usafiri wa anga hauna mwiko. Akizungumza na gazeti hili, rubani mwanamke wa kwanza kuongoza ndege aina ya Airbus A380 inayomilikiwa na kampuni ya Fastjet Tanzania, rubani Anne-Marie Lewis anasema wanawake barani Afrika hawapaswi kuogopa kuwa sehemu ya sekta hii inayokua barani kote.
Anasema si kazi ngumu mwanamke kuwa rubani na kwamba yeye anajiamini na...
10 years ago
Bongo504 Feb
Irene Uwoya adai yupo njia panda kuachia filamu yake mpya ‘Kisoda’
10 years ago
Bongo Movies13 Aug
Irene Uwoya Apitishwa na CCM Kuwa Mbunge Viti Maalum Kupitia Tabora
Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya apitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC )kuwa mbunge viti maalum vijana mkoa wa Tabora.
Wengine waliopitishwa ni namba 1. Halima Bulembo 2. Zainab Katimba 3. Mariam Ditopile 4. Mary Kangoye 5. Kizigo 6. Irene Uwoya.
Hongera sana Uwoya.
Cloudsfm.com
9 years ago
Bongo Movies28 Oct
Uzushi Kuwa Irene Uwoya Amefariki Wasababisha Usumbufu Mkubwa Kwenye Familia
Taarifa za uzushi zilizoandikwa jana kwenye Facebook kuwa muigizaji wa filamu, Irene Uwoya amefariki, zinadaiwa kusababisha usumbufu mkubwa kwenye familia yake.
Uzushi huo umekanushwa na kulaaniwa vikali na muigizaji mwenzake, Jacob Stephen aka JB.
“Ndugu zangu jana kupitia akaunti feki ya facebook kuna mtu alitoa picha yangu nikilia na kusema Irene Uwoya amefariki,” ameandika JB kwenye Instagram.
“Habari hii ya uongo ilileta shida kubwa katika familia yake na watu wa karibu. Leo tena...
11 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mwanamuziki Msami akiri kuwa mpenzi wa Uwoya, azungumzia tofauti ya umri na mipango yao
Mkali wa Sound Track ambaye pia ni mkali wa kuvunja (dancer) amezungumzia uhusiano wake na muigizaji mrembo wa Bongo Movies, Irene Uwoya.
Akiongea na tovuti ya Times Fm, Msami alizunguka sana mbuyu kutaka kutoa maelezo kuhusu ukweli wa mambo kati ya wawili hao lakini kwa mara ya kwanza aliamua kuiambia tovuti ya Times Fm kauli yake kutokana na jinsi alivyoulizwa.
“Kaongea kwa upole huyu jamaa, kaapproach ili apate jibu. Ni kweli (kicheko)…nimekuridhisha lakini, nimeamua kukuridhisha.”...