EXCLUSIVE!! Irene uwoya afunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu!
NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya amefunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu zilizoripotiwa na mitandao mbalimbali ya habari nchini hivi karibuni.
Akizungumza exclusively nasi, Irene amesema kuwa haelewi hizo tuhuma zimetoka wapi na wala hajui aanzie wapi kuzijibu maana siyo yote yaliyoripotiwa ni kweli.
Tuhuma hizo zilidai kuwa, mwanadada huyo mrembo alienda kuleta timbwili nyumbani kwa mume wa mtu huyo baada ya kusikia kuwa jamaa huyoa ameamua kuoa na kumoiga...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
UWOYA BANA! AFANYA FUJO KUBWA NYUMBANI KWA MUME WA MTU
10 years ago
Mwananchi23 Jul
Mume wa Irene Uwoya aibukia Stand United
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
Irene Uwoya:Siku Zote Niatamuheshimu Ray, Ni Mtu Muhimu Sana Kwangu
‘Shukrani’ ni kitu muhimu na ni jambo jema sio hapa dunia tu hata huko mbinguni (Kwa wanoamini), ni vyema kumshuru Mungu kwa kila jambo na vile vile kuwashukuru watu ambao kwa namna moja au nyingine wamekusaidia kufikia hapo ulipo.
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Irene Uwoya amekuwa sio mchoyo wa fadhira kwa kumshukuru hadharani muongozaji na mwigizaji wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ kwa kuwa ni moja ya watu waliomsaidia katika sanaa.
Kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM,...
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Utajiri wa Irene Uwoya waanza kuwa gumzo, watu wahoji amepata wapi mali zote hizo. Mwenyewe afunguka na haya
Inadaiwa kuwa hali ya hewa imechafuka kwa msanii nyota wa filamu za Bongo Irene Uwoya ambapo ameshindwa kutaja vyanzo vya utajiri wake wa Ghafla, Hivi karibuni Uwoya alikaririwa akisema kuwa hawezi kutaja kazi nyingine anayofanya na utajiri aliokuwa nao kwani wapo baadhi ya watu hawapendi kuona mmoja wao akiendelea ...Alisema kuwa pamoja na magari anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani amepata utajiri huo..Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa hela na cha zaidi ni Jina ambalo...
10 years ago
Bongo526 Nov
Jaguar kutua TZ kwajili ya Uwoya, Irene adai anakuja kufanya mipango ya ndoa yao
10 years ago
GPLMAIMARTHA: AFUNGUKA NDANI YA GLOBAL TV SIJAOLEWA NA MUME WA MTU
10 years ago
Dewji Blog21 Apr
EXCLUSIVE Gossip: “Dada wa Diamond Platnumz, Esma afunguka juu ya manyanyaso ya #teamWema mtandaoni
Esma mdogo wa Diamond Platnumz, aliyevunja ukimya, asubuhi ya leo juu ya kufuatwa fuatwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wa marafiki wa Wema Sepetu #teamWema, ambao wamekuwa wakitukana na kumtaka asimsaidie kaka yake juu ya shughuli zake za muziki.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Kuna misemo mingi juu ya mawifi wengi ‘wanagugu’ hasa wa ndugu wa mme, hilo ndilo lililomkuta dada wa mwanamuziki nyota nayefanya vizuri Bongo nan je ya Bongo, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ ajulikanaye kwa jina la Esma...
10 years ago
Bongo Movies05 Apr
Chakujifunza Kutoka kwa Wolper, Kajala na Irene Uwoya
Kama ulikuwa hujui basi nakuhabarisha, mastaa ambao wameshibana kwa sasa, namzunguzia wema sepetu pamoja na aunty Ezekiel. Hapo awali waliwahi kuingia kwenye bifu zito kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la aliyekuwa mcheza filamu maarufu nchini, marehemu kanumba. Bifu hilo lilifikia pabaya ambapo mastaa hao walirushiana maneno makali kwenye mitandao kila mmoja akimshtumu mwenzie kumuibia bwana ake, bifu hilo lilidumu kwa mda mrefu, lakini sasa ivi mastaa hao wameshibana na kuishi kama ndugu, ya...
9 years ago
Bongo521 Nov
Irene Uwoya kurejea kwenye movie kwa style hii

Irene Uwoya amerudi rasmi katika filamu baada ya kumaliza pilika pilika za uchaguzi ambapo ametangaza deal kwa vijana wapya katika filamu.
Kupitia ukurasa wa Instagram, Irene ameandika:
Habari zenu wapendwa!kuna movie mpya naaandaa…tunahitaji wasanii wapya wakike na wakiume…ambao hawajawah kuigiza!kunamaswali tutauliza ukipita utaitwa kwajili ya form na mahojiano zaidi…..swali la kwanza!ntajie wasaniii watatu wanao kuvutia na kwanin?