UWOYA BANA! AFANYA FUJO KUBWA NYUMBANI KWA MUME WA MTU
![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkyw24L58YC0yYMbqKiJbM8hXwvypZYFJgtof*8e0FXmx8DDPGlNJir1T5nfnOQIqyuFD-br-ieTEMymnk-m7s48/uwoya.jpg)
Stori: Shakoor Jongo NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya amesababisha tena! Safari hii amekinukisha nyumbani kwa mwanaume aliyewahi kuwa mpenzi wake (jina tunalo) kufuatia jamaa huyo kufunga ndoa na mwanamke mwingine na kumfanya Uwoya kuendelea kuwa ‘nyumba ndogo’. Kwa mujibu wa chanzo chetu, ishu hiyo ilichukua nafasi juzikati, nyumbani kwa mwanaume huyo, Sinza-Mori jijini Dar es Salaam. Nyota wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies18 Jul
EXCLUSIVE!! Irene uwoya afunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu!
NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya amefunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu zilizoripotiwa na mitandao mbalimbali ya habari nchini hivi karibuni.
Akizungumza exclusively nasi, Irene amesema kuwa haelewi hizo tuhuma zimetoka wapi na wala hajui aanzie wapi kuzijibu maana siyo yote yaliyoripotiwa ni kweli.
Tuhuma hizo zilidai kuwa, mwanadada huyo mrembo alienda kuleta timbwili nyumbani kwa mume wa mtu huyo baada ya kusikia kuwa jamaa huyoa ameamua kuoa na kumoiga...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Miy5-5-cgYtKAv5fm*0qrkZMOeeWytS7VNa6fYnvsn7qRH-cNy7QO6aodnjlVEf6BivOI50rd-ZMe8BB1aMHkR-2vqt5JBiB/Mumez.jpg?width=650)
MUME WA MTU AFANYA MAMBO YA AIBU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hcQhoKy6yeiZLQO08eb-HGECHZfVf48XCEEJGKVC8DHYwfZdMBkF7mBvUaPvYd6Cr9SMH8F6YIT3zafVfvou6nA/BACK.jpg?width=650)
FEDHEHA KUBWA MUME WA MTU AKUTWA NA CHANGUDOA AKIVAA SURUALI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7l-wHj5OnnlF5cRYGvWkpSl4m9PC1BWWJURUBuG7NCe3C-dWORDwz6afU38SaEyBzCNWgziybt560lUa1j5zMqi/MYGODZ.jpg)
MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcIkwe79Xf*bMKoF4R9FbewQXeyINX6RzAGzhSuWOwPYDD5JgyVpjIVKOxRsXcX26sWJiOYVK9626gtBKHQVuzb2/mkewamtusumu.jpg?width=650)
MUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU
11 years ago
CloudsFM23 Jul
MABOMU SABA YA KURUSHWA YAKAMATWA NYUMBANI KWA MTU ARUSHA.
Jeshi la Polisi limekamata mabomu saba ya kutupa kwa mkono, risasi sita za bunduki aina ya Shortgun, mapanga mawili na bisibisi moja, katika operesheni dhidi ya matukio ya mabomu mjini Arusha.
Jeshi hilo pia linawashikilia Jeshi hilo pia linawashikilia watu 25 kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya milipuko ya mabomu katika nyumba za ibada, mkutano wa hadhara wa Chadema, mgahawa na nyumba za viongozi wa dini. Mabomu hayo yamekamatwa eneo la Sombetini nyumbani kwa Yusufu Ali (30) ambaye...
10 years ago
Mwananchi23 Jul
Mume wa Irene Uwoya aibukia Stand United
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i41PO2l4KKXXoBBzJewILeB0j3TxB33hT6GZwV8vKT5x4rE*HboIW7JeFnfG8IBWcUyOzxoGol*CByAhOoCByL87EOyVb7Qv/BACKJmooo001.jpg)
AIBU KUBWA! MUUZA GENGE ACHEZEA KICHAPO KWA KUNASWA NA MKE WA MTU
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-qnyIcRaPxw0/VORCPC77RkI/AAAAAAAAGoM/BqBi9wCP0r4/s72-c/STARA%2BTHOMAS.jpg)
Kuhusiana na skendo ya kukutwa na mume wa mtu, Hii ndiyo barua nzito kwa mwanamuziki wa Injili na Bongo Fleva Stara Thomas
![](http://3.bp.blogspot.com/-qnyIcRaPxw0/VORCPC77RkI/AAAAAAAAGoM/BqBi9wCP0r4/s640/STARA%2BTHOMAS.jpg)
Binafsi ni mzima. Naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Nimekukumbuka kwa barua leo maana ni muda mrefu hatujaonana. Sikulaumu maana mjini mipango kama alivyoimba Mwanamuziki Ali Chocky wa Extra Bongo.Dhumuni la barua hii kwanza kabisa ni kukupa pole kwa tukio lililotokea juzikati maana suala la kukutwa na...