MABOMU SABA YA KURUSHWA YAKAMATWA NYUMBANI KWA MTU ARUSHA.
Jeshi la Polisi limekamata mabomu saba ya kutupa kwa mkono, risasi sita za bunduki aina ya Shortgun, mapanga mawili na bisibisi moja, katika operesheni dhidi ya matukio ya mabomu mjini Arusha.
Jeshi hilo pia linawashikilia Jeshi hilo pia linawashikilia watu 25 kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya milipuko ya mabomu katika nyumba za ibada, mkutano wa hadhara wa Chadema, mgahawa na nyumba za viongozi wa dini. Mabomu hayo yamekamatwa eneo la Sombetini nyumbani kwa Yusufu Ali (30) ambaye...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Mabomu saba yakamatwa Arusha, 25 watiwa mbaroni
10 years ago
VijimamboDURHAM WACHANGIA JIJI LA ARUSHA KWA KUFANYA ONESHO LA SABA SABA FAIR TRADE
David Mngondo akiongea na mmoja ya wageni wahudhuriaji saba saba day.
Meza nyingi ya familia ya Kitanzania wakitangaza bidhaa zao.
5 years ago
BBCSwahili21 Jun
Takribani watu saba wauawa kwa mashabulizi ya mabomu nchini Somalia
11 years ago
GPL
UWOYA BANA! AFANYA FUJO KUBWA NYUMBANI KWA MUME WA MTU
11 years ago
Bongo Movies18 Jul
EXCLUSIVE!! Irene uwoya afunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu!
NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya amefunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu zilizoripotiwa na mitandao mbalimbali ya habari nchini hivi karibuni.
Akizungumza exclusively nasi, Irene amesema kuwa haelewi hizo tuhuma zimetoka wapi na wala hajui aanzie wapi kuzijibu maana siyo yote yaliyoripotiwa ni kweli.
Tuhuma hizo zilidai kuwa, mwanadada huyo mrembo alienda kuleta timbwili nyumbani kwa mume wa mtu huyo baada ya kusikia kuwa jamaa huyoa ameamua kuoa na kumoiga...
5 years ago
Michuzi
DC ATOA SIKU SABA KWA MHANDISI WA JIJI LA ARUSHA KUWEKA MAJI KWENYE JENGO LA KITUO CHA AFYA MURIET

Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama ya Jiji la Arusha wakikagua madarasa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini jijini Arusha Jana picha na Ahmed Mahmoud Arusha.

Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akiongea mara baada ya kukagua ujenzi wa madarasa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini na kutoa siku Saba kwa mhandisi kuhakikisha wanaweka maji kwenye kituo Cha Afya huku akipongeza Ujenzi wa madarasa hayo na kutaka yakamilike kwa wakati picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Afisa elimu...
11 years ago
Habarileo20 Dec
Ushahidi mabomu ya Arusha watakiwa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amemtaka Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari (Chadema), kuwasilisha tuhuma zote alizonazo dhidi ya Polisi, kudaiwa kumtesa mtuhumiwa wa bomu lililolipuka katika eneo la Olositi, mkoani Arusha kwenye mkutano wa Chadema.
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Mabomu yazidi kutikisa Arusha
11 years ago
Habarileo01 Aug
Watuhumiwa mabomu Arusha watajwa
WATUHUMIWA 19 wa ulipuaji mabomu mkoani Arusha, majina yao yamewekwa hadharani jana na leo wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayowakabili. Watuhumiwa hao ni pamoja wanaodaiwa kuhusika katika ulipuaji wa bomu katika viwanja vya Soweto, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliofanyika Juni 15, 2013.