Dk. Mwakyembe kuweka mambo hadharani leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-RaBtDwkCkD0/U7LE6JSi2VI/AAAAAAAABSQ/kuBJ3eTsc8E/s72-c/Harrison+Mwakyembe-May27-2014.jpg)
Na mwandishi wetu
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, ameahidi kuwataja hadharani baadhi ya watumishi na watendaji wanaofanya vitendo vya uhalifu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Awali, Dk. Mwakyembe, alikuwa akutane na waandishi wa habari ofisini kwake jana, lakini alishindwa kufanya hivyo baada ya kuitwa Ikulu kwa majukumu mengine ya kikazi.
Hatua ya kuwekwa hadharani mtandao huo hatari unaohusisha watumishi wa idara mbalimbali, inafuatia agizo lake alilitoa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJOu26l9X6TYGFawZr7IkIYk9PC1pWRkE*qV3p45qlPrSg6mLEkSaLgadOsgi-eAh03A*y4HfL6jSE1jl6A3xVnI/FRONTJUMAMOSI.jpg)
MAMBO HADHARANI
9 years ago
Mzalendo Zanzibar11 Oct
Mpaka hivi sasa tume ya Taifa NEC imeshindwa kuweka Daftari la Wapiga kura hadharani, Jee UKAWA wamejipanga vipi?
Huku kukiwa na wasiwasi mkubwa kwa Vyama vya Upinzani kuhusu Daftari la wapiga kura kutokuwekwa hadharani ili vyama vya siasa kupata nafasi ya kulipitia, Vyama vilivyo ungana UKAWA wamekuwa na shaka kubwa kuwa Tume ya Taifa […]
The post Mpaka hivi sasa tume ya Taifa NEC imeshindwa kuweka Daftari la Wapiga kura hadharani, Jee UKAWA wamejipanga vipi? appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi37Ff6fHWjJ*5iUAu-Ni6nkDRci*sH76d5SPHCLvXQ2IhGok9-ghNm3ZjMty6Yp7m4FpDugjJqCxX3qSS75veuQ/nando.jpg)
LULU, NANDO WA BBA MAMBO HADHARANI
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Uwoya hapendi kuweka wazi mambo yake
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu za nchini, Irene Uwoya, amefunguka na kusema hapendi kuweka wazi mambo yake binafsi kama ilivyo wasanii wengine.
Msanii huyo alisema kuwa kuna baadhi ya wasanii ambao wanapenda kuweka kila kitu chake ambapo haina maana yoyote kwa jamii.
Akizungumza na MTANZANIA, msanii huyo alisema anapendelea kufanya mambo yake kwa siri na sio kuweka wazi kwenye mitandao ya kijamii kama wanavyofanya baadhi ya wasanii.
“Ukweli ni kwamba, sipendi kuweka...
9 years ago
Bongo526 Dec
Ridhiwan aweka mambo hadharani, soma alichojibu kuhusiana na shutuma za ufisadi dhidi yake
![Riz](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Riz-300x194.jpg)
Soma kile alichoandika Ridhiwan Kikwete kujibu tuhuma mbalimbali za ufisadi zilizomwandama kwa miaka mingi.
Ndugu zangu waandishi wa habari, nimeamua kuwaita ili kuzungumza nanyi kuhusu baadhi ya mambo yaliyokuwa yanasemwa katika vyombo vya habari kuhusu mimi.
Awali ya yote napenda kusema kuwa habari hizo ni UONGO mtupu, ni mambo yanayozushwa na waandishi wa habari hizo kwa nia ya kuchafua jina langu kwa sababu wanazozijua wanaoandika. UKWELI ni kwamba haya ni mambo yenye kufanywa kwa nia...
9 years ago
Mwananchi14 Nov
Lowassa hadharani Arusha leo
9 years ago
Habarileo20 Nov
Tanzania ya Magufuli hadharani leo
RAIS John Magufuli leo anatarajiwa kuzindua Bunge la 11 mjini Dodoma na kutoa mwelekeo wa Serikali yake ya Awamu ya Tano katika miaka mitano ijayo.
11 years ago
Mwananchi09 Aug
Vifaa vya Simba hadharani leo
10 years ago
Mwananchi12 Jul
Mgombea wa urais CCM kuwekwa hadharani leo