Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania ya Magufuli hadharani leo

RAIS John Magufuli leo anatarajiwa kuzindua Bunge la 11 mjini Dodoma na kutoa mwelekeo wa Serikali yake ya Awamu ya Tano katika miaka mitano ijayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi


MAGUFULI AMTOSA CHENGE BARIADI.Katika kile ambacho wachunguzi wa mambo ya kisiasa wamekiita tukio la kimapinduzi na mwanzo wa mabadiliko mapya ndani ya CCM, Mgombea wa Urais kwa ticket ya CCM Dr. John Magufuli amefanya kile ambacho Rais Jakaya Kikwete na Edward Lowassa wameshindwa, kumtosa Andrew Chenge hadharani.Mwanasheria huyo mkuu wa zamani ambaye anahusika kwenye kashfa mbalimbali zilizozikumba taifa hili, ambaye ndio alikuwa mratibu wa kampeni za Urais za Edward Lowassa alipokuwa CCM...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa hadharani Arusha leo

Aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa anatarajia kuhutubia mkutano wa kumnadi mgombea wa ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema na kuwashukuru Watanzania kwa kura walizompa katika Uchaguzi Mkuu uliopita.

 

11 years ago

Mwananchi

Vifaa vya Simba hadharani leo

>Nyota wapya wa Simba leo watatambulishwa wakati vijana hao wa Msimbazi watakapoikabili Zesco ya Zambia katika Tamasha la Simba Day kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Dk. Mwakyembe kuweka mambo hadharani leo


Na mwandishi wetu
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, ameahidi kuwataja hadharani baadhi ya watumishi na watendaji wanaofanya vitendo vya uhalifu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Awali, Dk. Mwakyembe, alikuwa akutane na waandishi wa habari ofisini kwake jana, lakini alishindwa kufanya hivyo baada ya kuitwa Ikulu kwa majukumu mengine ya kikazi.
Hatua ya kuwekwa hadharani mtandao huo hatari  unaohusisha watumishi wa idara mbalimbali, inafuatia agizo lake alilitoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea wa urais CCM kuwekwa hadharani leo

Sasa ni wazi; mmoja kati ya Dk John Magufuli, Dk Asha Rose Migiro au Balozi Amina Salum Ali atapeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu kukamilisha kazi yao ya kupiga kura usiku mwingi wa kumkia leo.

 

9 years ago

Mtanzania

Video ya ‘subira’ ya Kassim Mganga hadharani leo

kASSIM mGANGANA SHARIFA MMASI

BAADA ya kushambuliwa kwa maneno na mashabiki wake wakihitaji video ya wimbo wake wa ‘Subira’, msanii mahiri nchini, Kassim Mganga, leo anatarajiwa kuiachia video hiyo ili kupoza mashabiki wake hao.

Wimbo wa ‘Subira’ ambao Kassim amemshirikisha mkali wa sauti, Christian Bella, unaendelea kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio nchini bila ya kuwa na video yake.

“Muda mrefu nimekuwa na kigugumizi juu ya maswali ya mashabiki wangu kuhusu video ya wimbo wa Subira,...

 

9 years ago

Raia Mwema

Magufuli anaweza akawa Deng Xiaoping wa Tanzania ya leo?

AGOSTI 22, mwaka 1904, katika kijiji cha Xiexing Guang’an Jimbo la Sichuani nchini China, katika

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Habarileo

Malalamiko ya Tanzania Bara, Zanzibar hadharani

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, ametaja malalamiko 10 ya kila upande wa Muungano, ambayo yanatishia kuvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ikiwemo Serikali ya Tanganyika kuvaa koti la Serikali ya Muungano ambalo linaisaidia Tanganyika zaidi kuliko Zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania Kwanza Nje wavurugana hadharani

Wajumbe wa Kundi la Tanzania Kwanza nje ya Bunge la Maalumu la Katiba jana waligawanyika mbele ya waandishi wa habari waliowaita kueleza mkakati wao wa kuandamana nchi nzima kupingana na mahasimu wao wa Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani