Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malalamiko ya Tanzania Bara, Zanzibar hadharani

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, ametaja malalamiko 10 ya kila upande wa Muungano, ambayo yanatishia kuvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ikiwemo Serikali ya Tanganyika kuvaa koti la Serikali ya Muungano ambalo linaisaidia Tanganyika zaidi kuliko Zanzibar.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ZANZIBAR WASHIRIKIANA NA TANZANIA BARA KUKABILIANA NA CORONA

Na. Catherine Sungura-Zanzibar

Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Mhe. Hamad Rashid Hamad ameushukuru ujumbe wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania bara kutuma wataalam wake kutoka sekta mbali mbali zinazoshirikiana katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo Corona.

Mhe. Hamad ameyasema hayo leo ofisini kwake Zanzibar wakati akiongea na timu ya wataalam kutoka Tanzania bara waliofika visiwani hapa kwa ajili ya kubadilishana uzoefu pamoja na kuweka mikakati ya...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akagua ujenzi wa bara bara Koani - Jumbi zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema uamuzi uliochukuliwa na Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar wa kujadiliana na mjenzi wa Bara bara ya Koani hadi Jumbi ndio njia pekee itakayoweza kufanikisha ujenzi wa Bara bara hiyo. Alisema uamuzi wa pande hizo mbili wa kupelekana Mahakamani hautowasaidia Wananchi ambao lengo lao ni kupata huduma za mawasiliano ya bara bara kwa kuendesha harakati zao za kimaisha.
Balozi Seif alisema hayo wakati akikagua ujenzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MTANANGE WA ZANZIBAR HEROES NA TANZANIA BARA KATIKA PICHA

Moja ya magoli ya Zanzibar Heroes yakimuacha kipa Mussa Linga wa Tanzania Bara asijue la kufanyaWachezaji wa pande zote mbili wakichuana vikaliMpambano ukiendeleaMechi ni kali

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majina ya Zanzibar, Tanzania Bara ni sumu kwa Muungano

MNYUKANO  unaoendelea kwa sasa katika Bunge Maalumu la Katiba ni wa muundo wa Muungano wa Tanzania. Ni katika mjadala wa serikali mbili dhidi ya serikali tatu kama zilivyopendekezwa kwenye Rasimu...

 

10 years ago

Vijimambo

MATEMBEZI YA VIJANA 500 (UVCCM) WA MIKOA YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA

VIJANA 500 wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika matembezi ya siku tatu kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika eneo la Rahaleo.(Picha na Haroub Hussein).NAIBU Waziri wa Afrika Mashariki, Mhe. Juma Sadalla( mbele kushoto) akiungana na Vijana 500 wa Chama cha Mapinduzi katika matembezi ya siku tatu kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Haroub Hussein).

 

11 years ago

Dewji Blog

Katiba inayopendekezwa yakabidhiwa rasmi kwa waheshimiwa marais wa Tanzania Bara na Zanzibar

5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Katiba Inayopendekezwa toka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta wakati wa sherehe ya Makabidhiano ya Katiba hiyo iliyofanyika jana 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

KATIBA Inayopendekezwa imekabidhiwa rasmi 8 Oktoba, 2014 kwa Waheshimiwa Marais wa Tanzania Bara, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja Rais wa Zanzibar, Mhe. Ali Mohammed...

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA 500 (UVCCM) WA MIKOA YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA WASHIRIKI MATEMBEZI YA MAPINDUZI

Baadhi ya vijana 500 wa Chama cha Mapinduzi wakiwa wameshika picha za waasisi wa Tanzania na Marais wa Sasa katika matembezi ya siku tatu kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika eneo la Rahaleo.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mhe. Mboni Mhita akiongoza matembezi ya siku tatu ya Vijana mia tano kutoka mikoa mbali mbali ya Zanzibar na Tanzania bara kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambapo vijana hao walitembea mikoa yote mitatu Unguja.vijana...

 

10 years ago

Vijimambo

HASHEEM THABEET ASHUHUDIA KIPIGO TANZANIA BARA CHA GOLI 7-1 KUTOKA KWA ZANZIBAR HEROES

 wachezaji na mashabiki wakipata ukodak moment na mchezaji wa kikapu wa Tanzania nchini Marekani Hasheem Thabeet wakati mchezaji huyo alipojumuika na Watanzania wenzake uwanjani hapo kusherehekea sherehe ya Muungano ya nyama choma na mechi ya mprira wa miguu kati ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara siku ya Jumamosi April 25, 2015 iliyodhaminiwa na Peoples Bank of Zanzibar na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi. Gadaf akijipima urefu kwa kuruka juu iliamfikie  mchezaji wa kikapu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani