VIJANA 500 (UVCCM) WA MIKOA YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA WASHIRIKI MATEMBEZI YA MAPINDUZI
Baadhi ya vijana 500 wa Chama cha Mapinduzi wakiwa wameshika picha za waasisi wa Tanzania na Marais wa Sasa katika matembezi ya siku tatu kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika eneo la Rahaleo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mhe. Mboni Mhita akiongoza matembezi ya siku tatu ya Vijana mia tano kutoka mikoa mbali mbali ya Zanzibar na Tanzania bara kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambapo vijana hao walitembea mikoa yote mitatu Unguja.
vijana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Jan
MATEMBEZI YA VIJANA 500 (UVCCM) WA MIKOA YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA




10 years ago
Michuzi
DKT. SHEIN AYAPOKEA MATEMBEZI YA VIJANA WA UVCCM,ZANZIBAR


10 years ago
GPL
DKT. SHEIN APOKEA MATEMBEZI YA VIJANA WA UVCCM HUKO ZANZIBAR
10 years ago
Vijimambo13 Oct
VIJANA KUTOKA MIKOA MBALIMBALI WASHIRIKI MDAHALO KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA


11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE APOKEA MATEMBEZI YA UVCCM ZANZIBAR
10 years ago
GPL
UVCCM ZANZIBAR WAFANYA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO KUUNGA MKONO HOTUBA YA DR.SHEIN
10 years ago
Michuzi
UVCCM ZANZIBAR WAFANYA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO KUUNGA MKONO HOTUBA YA DKT.SHEIN


Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mjini...
11 years ago
Habarileo19 Dec
UVCCM waapa kuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imesema itaendelea kuyalinda na kuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 huku wakiwaasa wapinga mapinduzi kuwa wananchi wa Zanzibar, hawatakubaliani na hoja yao hiyo.