Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katiba inayopendekezwa yakabidhiwa rasmi kwa waheshimiwa marais wa Tanzania Bara na Zanzibar

5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Katiba Inayopendekezwa toka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta wakati wa sherehe ya Makabidhiano ya Katiba hiyo iliyofanyika jana 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

KATIBA Inayopendekezwa imekabidhiwa rasmi 8 Oktoba, 2014 kwa Waheshimiwa Marais wa Tanzania Bara, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja Rais wa Zanzibar, Mhe. Ali Mohammed...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KATIBA INAYOPENDEKEZWA YAKABIDHIWA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la katiba, Samuel Sitta leo amekabidhi Katiba inayopendekezwa kwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein.

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA PONGEZI KWA MH.RAISI WA TANZANIA, RAISI WA ZANZIBAR NA VIONGOZI WOTE WALIOFANIKISHA KUPATIKANA KWA KATIBA INAYOPENDEKEZWA.


Ndugu viongozi wote wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi diaspora, wawakilishi wa serikali ya Tanzania ndani na nje ya nchi, taasisi za kitaifa na kimataifa, mashirika ya kijamii, mashirika binafsi, viongozi mbalimbali; itifaki imezingatiwa.
Awali ya yote napenda kumshukuru M/Mungu kwa kutupa uzima na afya njema kuweza kutekeleza majukumu yetu ya kila siku ikiwemo kusimamia sera na utendaji wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi huku diaspora. Pia napenda...

 

10 years ago

Vijimambo

KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR (ZLSC) WATOA ELIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA WANANCHI ZANZIBAR.

 Taswira mbalimbali za kituo cha huduma za sheria9ZLSC) kikitoa elimu ya katiba iliyopendekezwa kwa wananchi Zanzibar.


 

11 years ago

Tanzania Daima

Majina ya Zanzibar, Tanzania Bara ni sumu kwa Muungano

MNYUKANO  unaoendelea kwa sasa katika Bunge Maalumu la Katiba ni wa muundo wa Muungano wa Tanzania. Ni katika mjadala wa serikali mbili dhidi ya serikali tatu kama zilivyopendekezwa kwenye Rasimu...

 

10 years ago

GPL

MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif afunguwa Kongamano la Wanawake na Uongozi katika Katiba inayopendekezwa,Zanzibar leo

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akilifunguwa Kongamano la Wanawake na Uongozi katika Katiba inayopendekezwa lililofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mh. Abdulla Mwinyi akitoa nena la shukrani kwa Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kulifungua Kongamano la Wanawake na Uongozi.Mtangazaji wa Zamani wa Kituo cha Matangazo ya Televisheni Zanzibar Karume House Bibi Neema...

 

10 years ago

Vijimambo

HASHEEM THABEET ASHUHUDIA KIPIGO TANZANIA BARA CHA GOLI 7-1 KUTOKA KWA ZANZIBAR HEROES

 wachezaji na mashabiki wakipata ukodak moment na mchezaji wa kikapu wa Tanzania nchini Marekani Hasheem Thabeet wakati mchezaji huyo alipojumuika na Watanzania wenzake uwanjani hapo kusherehekea sherehe ya Muungano ya nyama choma na mechi ya mprira wa miguu kati ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara siku ya Jumamosi April 25, 2015 iliyodhaminiwa na Peoples Bank of Zanzibar na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi. Gadaf akijipima urefu kwa kuruka juu iliamfikie  mchezaji wa kikapu...

 

10 years ago

GPL

RADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUT

Wasimamizi wa redio za jamii wakisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Mtandao wa redio za Jamii, Joseph Sekiku akiongea machache…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani