Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania Kwanza Nje wavurugana hadharani

Wajumbe wa Kundi la Tanzania Kwanza nje ya Bunge la Maalumu la Katiba jana waligawanyika mbele ya waandishi wa habari waliowaita kueleza mkakati wao wa kuandamana nchi nzima kupingana na mahasimu wao wa Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ajitokeza hadharani kwa mara ya kwanza

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un hatimaye amejitokeza hadharani katika uzinduzi wa kiwanda cha mbolea Ijumaa Mei 1 baada ya uvumi kuhusu afya yake, limesema shirika la habari la serikali la KCNA.
Shirika la habari la KCNA limesema wafanyakazi katika kiwanda cha mbolea walianza ," kushangiliia kwa nguvu" wakimshangilia Kim, ambao shirika hilo lilisema , analiongoza taifa hilo katika mapambano ya ujenzi wa uchumi wa kujitegemea kutokana na "upepo mkali unaokuja" kutoka kwa "nguvu...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Ndungulile; Mbunge wa kwanza wa CCM kutolewa nje ya kikao

>Ni miongoni mwa wabunge wanaowakilisha majimbo  yao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

CloudsFM

FID Q KUSHUTI VIDEO NZURI KWA MARA YA KWANZA NJE YA NCHI

Rapa Fid Q amekiri kuwa hajawahi kuwa na video nzuri kwa zaidi ya miaka kumi aliyokaa katika game ya muziki wa bongo flava hapa Bongo,Fid Q amefunguka mpango wake wa kwenda kushuti video kali kwa mara ya kwanza nje ya nchi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM Ilala wavurugana

MGOGORO umezuka miongoni mwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Upanga Magharibi jijini Dar es Salaam kwa kile kilichoelezwa mmoja wa wagombea wa Serikali ya Mtaa anayedaiwa kukingiwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM Kihangaiko wavurugana

MCHAKATO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumpata mgombea uenyekiti wa Kijiji cha Kihangaiko Tarafa ya Msata wilayani Bagamoyo, Pwani, mwishoni mwa wiki umeingia dosari baada ya wajumbe kunusurika kuzichapa hadharani...

 

9 years ago

Habarileo

Tanzania ya Magufuli hadharani leo

RAIS John Magufuli leo anatarajiwa kuzindua Bunge la 11 mjini Dodoma na kutoa mwelekeo wa Serikali yake ya Awamu ya Tano katika miaka mitano ijayo.

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MARA YA KWANZA NA WATUMISHI WOTE WA WIZARA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Libarata Mulamula akizungumza katika kikao chake cha kwanza na Watumishi wote wa Wizara tangu alipoteuliwa na Rais hivi karibuni kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Mkutano huo ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Juni, 2015. Pamoja na mambo mengine Balozi Mulamula aliwahimiza Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje...

 

11 years ago

GPL

Loga, Matola wavurugana Dar

Kocha mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Sweetbert Lukonge na Phillip Nkini
MAKOCHA wa Simba, Zdravko MAKOCHA wa Simba, Zdravko Logarusic na Selemani Matola, juzi Jumamosi walizozana nusura wakunjane uwanjani baada ya kushindwa kuelewana, kila mmoja akitaka lake. Logarusic ambaye ni bosi wa benchi la ufundi, wasaidizi wake Matola na Iddi Pazi waliingia kwenye mgogoro huo wa aina yake uliosababishwa na mtoto wa Pazi, Zahoro...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wavurugana Mahakama ya Kadhi

Waziri Mkuu, Mizengo PindaBAADA ya kutokea kutoelewana miongoni mwa wabunge juu ya marekebisho ya muswada wa sheria inayoruhusu kuundwa kwa Mahakama ya Kadhi, Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema kuna haja ya Serikali kutafakari upya kuhusu suala hilo kabla ya kuliwasilisha bungeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani