Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM Kihangaiko wavurugana

MCHAKATO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumpata mgombea uenyekiti wa Kijiji cha Kihangaiko Tarafa ya Msata wilayani Bagamoyo, Pwani, mwishoni mwa wiki umeingia dosari baada ya wajumbe kunusurika kuzichapa hadharani...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

CCM Ilala wavurugana

MGOGORO umezuka miongoni mwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Upanga Magharibi jijini Dar es Salaam kwa kile kilichoelezwa mmoja wa wagombea wa Serikali ya Mtaa anayedaiwa kukingiwa...

 

5 years ago

Michuzi

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI MABEYO AIPONGEZA RTS KIHANGAIKO KUENDESHA MAFUNZO NA MIRADI


Na Luteni Selemani Semunyu

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo amepongeza chuo Cha mafunzo ya awali ya Kijeshi cha RTS Kihangaiko kutokana na usisimamizi wa mafunzo na Ujenzi wa Miradi ya kujitegemea.

Jenerali Mabeyo alisema hayo mwishoni mwa wiki wakati wa sherehe za kuapa kwa Askari wapya kundi la 39 katika chuo hicho kilichopo Msata Bagamoyo Mkoani Pwani.

"Sina Shaka na mazoezi mliopatiwa na nimeshuhudia pia kupitiaa vyombo vya habari mlipokuwa mkihitoimisha mafunzo...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wavurugana Mahakama ya Kadhi

Waziri Mkuu, Mizengo PindaBAADA ya kutokea kutoelewana miongoni mwa wabunge juu ya marekebisho ya muswada wa sheria inayoruhusu kuundwa kwa Mahakama ya Kadhi, Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema kuna haja ya Serikali kutafakari upya kuhusu suala hilo kabla ya kuliwasilisha bungeni.

 

11 years ago

GPL

Loga, Matola wavurugana Dar

Kocha mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Sweetbert Lukonge na Phillip Nkini
MAKOCHA wa Simba, Zdravko MAKOCHA wa Simba, Zdravko Logarusic na Selemani Matola, juzi Jumamosi walizozana nusura wakunjane uwanjani baada ya kushindwa kuelewana, kila mmoja akitaka lake. Logarusic ambaye ni bosi wa benchi la ufundi, wasaidizi wake Matola na Iddi Pazi waliingia kwenye mgogoro huo wa aina yake uliosababishwa na mtoto wa Pazi, Zahoro...

 

9 years ago

Mwananchi

Miraj, Hamad Rashid wavurugana ADC

Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Said Miraj amemshushia tuhuma tatu mgombea urais wa chama hicho visiwani Zanzibar, Hamad Rashid Mohamed, huku akisisitiza kuwa ili kukinusuru chama hicho ni lazima afukuzwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania Kwanza Nje wavurugana hadharani

Wajumbe wa Kundi la Tanzania Kwanza nje ya Bunge la Maalumu la Katiba jana waligawanyika mbele ya waandishi wa habari waliowaita kueleza mkakati wao wa kuandamana nchi nzima kupingana na mahasimu wao wa Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani