Miraj, Hamad Rashid wavurugana ADC
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Said Miraj amemshushia tuhuma tatu mgombea urais wa chama hicho visiwani Zanzibar, Hamad Rashid Mohamed, huku akisisitiza kuwa ili kukinusuru chama hicho ni lazima afukuzwe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Aug
ADC wapongeza uamuzi wa Hamad Rashid
Chama cha Aliance for Democratic Change (ADC), kimesema kimepokea kwa furaha kauli iliyotolewa na Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashidi Mohammed ya kutaka kugombea nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho na kusema kuwa ameonyesha ukomavu mkubwa wa kisiasa.
11 years ago
Tanzania Daima25 Aug
ADC yajivunia Hamad Rashid kugombea urais
CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimempongeza Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed kwa kuonesha nia ya kugombea urais kwa chama hicho. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar...
10 years ago
Daily News24 Jul
Hamad Rashid quits CUF, joins ADC
Daily News
THE opposition Civic United Front (CUF) suspended Member of Parliament (MP) for Wawi constituency, Mr Hamad Rashid Mohamed, defected to the Alliance for Democratic Change (ADC) party and was given membership card number one. He used ...
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Hamad Rashid awa mwanachama namba moja ADC
Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed amejiunga rasmi na Chama cha Alliance for Democtratic Change (ADC) chenye wanachama wanaokaribia 450,000 lakini akakabidhiwa kadi namba moja aliyosema inampa tiketi ya kuwania urais kupitia chama hicho Zanzibar.
11 years ago
KwanzaJamii27 Aug
ADC YAJIVUNIA HAMAD RASHID MOHAMMED KUGOMBEA URAIS 2015
CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimempongeza Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed kwa kuonesha nia ya kugombea urais kwa chama hicho.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama hicho, Said Miraji, alisema wamepokea kauli ya Mbunge huyo kwa furaha na watampa ushirikiano wote katika kuhakikisha kuwa ADC inafanya vizuri.
Miraji, alisema Hamad ana uwezo mkubwa ikiwa ni pamoja na kuwahi kushika nyadhifa mbalimbali katika serikali, hivyo...
10 years ago
MichuziMh. Hamad Rashid afungua kampeni za urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC kisiwani pemba
10 years ago
VijimamboMH. HAMAD RASHID AFUNGUA KAMPENI ZA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CHAMA CHA ADC KISIWANI PEMBA
10 years ago
VijimamboMGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CHAMA CHA ADC, MH. HAMAD RASHID ACHUKUA FOMU ZEC
10 years ago
Vijimambo
Mhe Hamad Rashid Zanzibar achukua Fomu ya Kugombea Urais kwa tiketi ya Chama cha ADC.


Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania