MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CHAMA CHA ADC, MH. HAMAD RASHID ACHUKUA FOMU ZEC
Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar. akishindikizwa na Wanachama wa Chama chake cha ADC katika...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-6y-nUtrXjZU/VbYnRurWW2I/AAAAAAAB3OM/6irpn0n8ztI/s72-c/hamad.jpg)
Mhe Hamad Rashid Zanzibar achukua Fomu ya Kugombea Urais kwa tiketi ya Chama cha ADC.
![](http://3.bp.blogspot.com/-6y-nUtrXjZU/VbYnRurWW2I/AAAAAAAB3OM/6irpn0n8ztI/s640/hamad.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-UwbLz8mTeYM/VbYnVc5xQ8I/AAAAAAAB3OU/NIk452ktgik/s640/hamad%2B2.jpg)
9 years ago
MichuziMh. Hamad Rashid afungua kampeni za urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC kisiwani pemba
9 years ago
VijimamboMH. HAMAD RASHID AFUNGUA KAMPENI ZA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CHAMA CHA ADC KISIWANI PEMBA
9 years ago
VijimamboMgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila Arejesha fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC.
10 years ago
Habarileo08 Aug
Mgombea urais ADC achukua fomu
MGOMBEA wa urais kwa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Chief Lutasola Yemba jana alichukua fomu ya uteuzi wa urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuahidi kuleta mabadiliko nchini.
9 years ago
MichuziMGOMBEA WA CHAMA CHA WAKULIMA ACHUKUA FOMU YA URAIS LEO
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-YJEGf1bioEQ/VdjJs7hxIGI/AAAAAAAB55E/DcpO6_hIYxg/s72-c/cuf%2B1.jpg)
WAGOMBEA UWAKILISHI NA UDIWANI KWA TIKETI YA CHAMA CHA CUF WAFIKA OFISI ZA ZEC KUCHUKUA FOMU
![](http://4.bp.blogspot.com/-YJEGf1bioEQ/VdjJs7hxIGI/AAAAAAAB55E/DcpO6_hIYxg/s640/cuf%2B1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-u4ooQdXeNNc/VdjJtviPjSI/AAAAAAAB56Q/e9eCuM9tTXE/s640/cuf%2B2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NMMP4Cjq7fY/VdjJtw-0NoI/AAAAAAAB55Q/l7_mE7nm79I/s640/cuf%2B3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-_YfvF9wQcdk/VdjJuU-wb0I/AAAAAAAB55U/YjQlpS39t-o/s640/cuf%2B4.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-XlTdPR1mbEc/VdjJvBl7nSI/AAAAAAAB55Y/2gnBrRC4KgU/s640/cuf%2B5.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-_BFVavjk_84/Vdn0mHgolKI/AAAAAAAAYIE/qzPQCUjPlIU/s72-c/MMGL1355.jpg)
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-_BFVavjk_84/Vdn0mHgolKI/AAAAAAAAYIE/qzPQCUjPlIU/s640/MMGL1355.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PEHTXMA_vyI/Vdn0mponBbI/AAAAAAAAYII/GvesfgUN41o/s640/MMGL1349.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
ADC yajivunia Hamad Rashid kugombea urais
CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimempongeza Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed kwa kuonesha nia ya kugombea urais kwa chama hicho. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar...