Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea urais ADC achukua fomu

MGOMBEA wa urais kwa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Chief Lutasola Yemba jana alichukua fomu ya uteuzi wa urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuahidi kuleta mabadiliko nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CHAMA CHA ADC, MH. HAMAD RASHID ACHUKUA FOMU ZEC

Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar.Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar. akishindikizwa na Wanachama wa Chama chake cha ADC katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe Hamad Rashid Zanzibar achukua Fomu ya Kugombea Urais kwa tiketi ya Chama cha ADC.

Aliyekuwa Wanachamna wa CUF na Mbunge wa jimbo la Wawi kisiwani Pemba, ambaye kwa sasa amehamia chama cha ADC, Hamad Rashid Mohamed leo amechukuwa fomu ya kugombe urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC, kulia ni kamishna wa ADC kanda ya Pemba Saidi Seif akimkabidhi mgombe huyo FomuMGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADC, Hamad Rashid Mohamed katitaki akizungumza na wananchi na wanachama wa ADC mara baada ya kuchukuwa fomu ya Urasi huko katika ofisi za chama hicho Wawi kibegi...

 

10 years ago

GPL

MGOMBEA URAIS WA CHAUMMA ACHUKUA FOMU

Ofisa wa NEC, Adam Nyando (kushoto) akimkabidhi fomu ya urais, Hashim Rungwe. Ofisa wa NEC, Crecencia Mayalla (kushoto), akimpatia maelekezo mgombea namna ya kujisajili katika daftari la wagombea.…

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea CCK achukua fomu za urais

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), Dk Godfrey Malisa, jana amechukua fomu ya kuwania nafasi hiyo katika Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), ambapo aliahidi kufanya kampeni za uhuru, amani na utulivu.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ACT achukua fomu urais Zanzibar

Mwanachama wa ACT – Wazalendo, Khamis Iddi Lila amechukua fomu za kuwania urais wa Zanzibar akieleza vipaumbele vyake kuwa ni mambo yote wanayowahusu wananchi, ikiwamo elimu.

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA WA CHAMA CHA WAKULIMA ACHUKUA FOMU YA URAIS LEO

  Afisa Uchanguzi Mwandamizi Deogratus Nsawagwanko akimkabidhi fomu Mngombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupiti chama cha wakuliama (AFP), Omari Mohamed Sombi leo katika ofisi za Tume ya uchaguzi  jijini Dar es Salaam.Afisa Uchanguzi Mwandamizi, Rafiki Kiravu akitoa  maelekezo kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia  Chama cha Wakuliama (AFP), Omari Mohamed Sombi kabla ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo leo  katika ofisi za Tume ya uchaguzi (NEC) jijini...

 

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Urais wa UPDP Mhe. Mwajuma Ali Khamis.Achukua Fomu Tume ya Uchaguzi.

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha UPDP, Mhe Mwajuma Ali Khamis akiwasili katika viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani tayari kwa kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar kupita Chama chake, akiwasili katika Afisi za Tume ya Uchaguzi zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani.Mgombea Urais kupitia Chama cha United People Democratic Party(UPDP) Mwajuma Ali Khalis akifuatilia kwa makini maelezo yaliokuwa yakisomwac na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakati wa hafla ya kuchukua...

 

5 years ago

CCM Blog

MOHAMMED JAFFAR JUMANNE ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUTEULIWA KUWA MGOMBEA URAIS ZANZNIABAR KUPITIA CCM


Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi Mhe.Mohammed Jaffar Jumanne, akikabidhiwa Fomu ya kuwania kuteuliwa na Chama chake kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar, akikabidhiwa na Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo. Hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. Sasa waliochukua fomu wamefikia 7.

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani