MGOMBEA WA CHAMA CHA WAKULIMA ACHUKUA FOMU YA URAIS LEO
Afisa Uchanguzi Mwandamizi Deogratus Nsawagwanko akimkabidhi fomu Mngombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupiti chama cha wakuliama (AFP), Omari Mohamed Sombi leo katika ofisi za Tume ya uchaguzi jijini Dar es Salaam.
Afisa Uchanguzi Mwandamizi, Rafiki Kiravu akitoa maelekezo kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wakuliama (AFP), Omari Mohamed Sombi kabla ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo leo katika ofisi za Tume ya uchaguzi (NEC) jijini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CHAMA CHA ADC, MH. HAMAD RASHID ACHUKUA FOMU ZEC
9 years ago
VijimamboMgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila Arejesha fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-6y-nUtrXjZU/VbYnRurWW2I/AAAAAAAB3OM/6irpn0n8ztI/s72-c/hamad.jpg)
Mhe Hamad Rashid Zanzibar achukua Fomu ya Kugombea Urais kwa tiketi ya Chama cha ADC.
![](http://3.bp.blogspot.com/-6y-nUtrXjZU/VbYnRurWW2I/AAAAAAAB3OM/6irpn0n8ztI/s640/hamad.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-UwbLz8mTeYM/VbYnVc5xQ8I/AAAAAAAB3OU/NIk452ktgik/s640/hamad%2B2.jpg)
10 years ago
Habarileo09 Aug
Mgombea CCK achukua fomu za urais
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), Dk Godfrey Malisa, jana amechukua fomu ya kuwania nafasi hiyo katika Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), ambapo aliahidi kufanya kampeni za uhuru, amani na utulivu.
10 years ago
Habarileo08 Aug
Mgombea urais ADC achukua fomu
MGOMBEA wa urais kwa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Chief Lutasola Yemba jana alichukua fomu ya uteuzi wa urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuahidi kuleta mabadiliko nchini.
10 years ago
GPLMGOMBEA URAIS WA CHAUMMA ACHUKUA FOMU
9 years ago
Mwananchi26 Aug
Mgombea ACT achukua fomu urais Zanzibar
9 years ago
VijimamboMgombea Urais wa UPDP Mhe. Mwajuma Ali Khamis.Achukua Fomu Tume ya Uchaguzi.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-MfixU5pKssU/Xutb79jYvpI/AAAAAAABMfc/VRWA1OirPOQEP-tWW7C3YQ9VdS5sUAwNACLcBGAsYHQ/s72-c/JAFFAR.jpg)
MOHAMMED JAFFAR JUMANNE ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUTEULIWA KUWA MGOMBEA URAIS ZANZNIABAR KUPITIA CCM
![](https://1.bp.blogspot.com/-MfixU5pKssU/Xutb79jYvpI/AAAAAAABMfc/VRWA1OirPOQEP-tWW7C3YQ9VdS5sUAwNACLcBGAsYHQ/s400/JAFFAR.jpg)