Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea ACT achukua fomu urais Zanzibar

Mwanachama wa ACT – Wazalendo, Khamis Iddi Lila amechukua fomu za kuwania urais wa Zanzibar akieleza vipaumbele vyake kuwa ni mambo yote wanayowahusu wananchi, ikiwamo elimu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila Arejesha fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC.

Mgombea Urais wa ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi ziliko katika hoteli ya Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kurejesha famu yake ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT. Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwa na mkoba wake wa fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar akishindikizwa na Viongozi wa Chama hicho wakiwasili katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC bwawani Zanzibar. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CHAMA CHA ADC, MH. HAMAD RASHID ACHUKUA FOMU ZEC

Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar.Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar. akishindikizwa na Wanachama wa Chama chake cha ADC katika...

 

10 years ago

GPL

MGOMBEA URAIS WA CHAUMMA ACHUKUA FOMU

Ofisa wa NEC, Adam Nyando (kushoto) akimkabidhi fomu ya urais, Hashim Rungwe. Ofisa wa NEC, Crecencia Mayalla (kushoto), akimpatia maelekezo mgombea namna ya kujisajili katika daftari la wagombea.…

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea CCK achukua fomu za urais

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), Dk Godfrey Malisa, jana amechukua fomu ya kuwania nafasi hiyo katika Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), ambapo aliahidi kufanya kampeni za uhuru, amani na utulivu.

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea urais ADC achukua fomu

MGOMBEA wa urais kwa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Chief Lutasola Yemba jana alichukua fomu ya uteuzi wa urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuahidi kuleta mabadiliko nchini.

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA WA CHAMA CHA WAKULIMA ACHUKUA FOMU YA URAIS LEO

  Afisa Uchanguzi Mwandamizi Deogratus Nsawagwanko akimkabidhi fomu Mngombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupiti chama cha wakuliama (AFP), Omari Mohamed Sombi leo katika ofisi za Tume ya uchaguzi  jijini Dar es Salaam.Afisa Uchanguzi Mwandamizi, Rafiki Kiravu akitoa  maelekezo kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia  Chama cha Wakuliama (AFP), Omari Mohamed Sombi kabla ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo leo  katika ofisi za Tume ya uchaguzi (NEC) jijini...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Shein achukua fomu za urais Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein jana alichukua fomu za kuwania tena wadhifa huo kwa awamu ya pili akieleza kuwashangaa wanaodai kuwa CCM hushinda kutokana na ufundi wa kuiba kura.

 

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Urais wa UPDP Mhe. Mwajuma Ali Khamis.Achukua Fomu Tume ya Uchaguzi.

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha UPDP, Mhe Mwajuma Ali Khamis akiwasili katika viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani tayari kwa kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar kupita Chama chake, akiwasili katika Afisi za Tume ya Uchaguzi zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani.Mgombea Urais kupitia Chama cha United People Democratic Party(UPDP) Mwajuma Ali Khalis akifuatilia kwa makini maelezo yaliokuwa yakisomwac na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakati wa hafla ya kuchukua...

 

9 years ago

Michuzi

DK.SHEIN ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR

 Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema  Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama  kabla ya kuelekea kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC  Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu  leo.

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani