Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Shein achukua fomu za urais Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein jana alichukua fomu za kuwania tena wadhifa huo kwa awamu ya pili akieleza kuwashangaa wanaodai kuwa CCM hushinda kutokana na ufundi wa kuiba kura.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

DK. SHEIN ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea fomu hiyo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar ZEC Jecha Salum Jecha katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwapungia mikono wananchi katika Gari maalum akitokea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi...

 

9 years ago

Michuzi

DK.SHEIN ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR

 Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema  Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama  kabla ya kuelekea kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC  Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu  leo.

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti...

 

9 years ago

Michuzi

DK. SHEIN ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR LEO

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea fomu hiyo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar ZEC Jecha Salum Jecha katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo.
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwapungia mikono wananchi katika Gari maalum akitokea katika Ofisi za Tume ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ACT achukua fomu urais Zanzibar

Mwanachama wa ACT – Wazalendo, Khamis Iddi Lila amechukua fomu za kuwania urais wa Zanzibar akieleza vipaumbele vyake kuwa ni mambo yote wanayowahusu wananchi, ikiwamo elimu.

 

5 years ago

CCM Blog

BALOZI KARUME ACHUKUA FOMU KUOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Ali Abeid Karume amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea urais wa visiwa hivyo kupitia CCM. Amesema akiteuliwa ataendeleza mazuri yaliyofanywa na watangulizi, ikiwemo kuimarisha muungano.

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI WA ZAMANI WA FEDHA ZANZIBAR, ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUGOMBEA URAIS


Aliyekuwa Waziri wa Fedha na mipango Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohammed amekuwa mgombea wa 15 kujitokeza kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM.

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR

Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha mkoba wenye Fomu za kuwania nafasi hiyo, leo Agosti 23, 2015, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, (ZEC), kwenye Ukumbi wa Salama, Bwawani, Zanzibar.Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha akimkabidhi Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, Fomu za kuwania nafasi hiyo, leo Agosti 23,...

 

5 years ago

Michuzi

MASAUNI ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

 Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionyesha mkoba wenye fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar.Kushoto ni Katibu Kamati Maalumu ya  NEC na Idara ya Oganaizesheni,fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar.Picha na Abubakari Akida Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionyesha mkoba wenye fomu ya...

 

5 years ago

CCM Blog

DK HUSSEIN MWINYI ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS KUPITIA CCM ZANZIBAR

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, katika Serikali ya Awamu ya Tano, Dkt. Hussein Mwinyi akichukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani