Hamad Rashid awa mwanachama namba moja ADC
Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed amejiunga rasmi na Chama cha Alliance for Democtratic Change (ADC) chenye wanachama wanaokaribia 450,000 lakini akakabidhiwa kadi namba moja aliyosema inampa tiketi ya kuwania urais kupitia chama hicho Zanzibar.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Miraj, Hamad Rashid wavurugana ADC
11 years ago
Mwananchi25 Aug
ADC wapongeza uamuzi wa Hamad Rashid
11 years ago
Tanzania Daima25 Aug
ADC yajivunia Hamad Rashid kugombea urais
CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimempongeza Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed kwa kuonesha nia ya kugombea urais kwa chama hicho. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar...
10 years ago
Daily News24 Jul
Hamad Rashid quits CUF, joins ADC
Daily News
THE opposition Civic United Front (CUF) suspended Member of Parliament (MP) for Wawi constituency, Mr Hamad Rashid Mohamed, defected to the Alliance for Democratic Change (ADC) party and was given membership card number one. He used ...
11 years ago
KwanzaJamii27 Aug
ADC YAJIVUNIA HAMAD RASHID MOHAMMED KUGOMBEA URAIS 2015
10 years ago
MichuziMh. Hamad Rashid afungua kampeni za urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC kisiwani pemba
10 years ago
VijimamboMH. HAMAD RASHID AFUNGUA KAMPENI ZA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CHAMA CHA ADC KISIWANI PEMBA
10 years ago
VijimamboMGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CHAMA CHA ADC, MH. HAMAD RASHID ACHUKUA FOMU ZEC
10 years ago
Vijimambo
Mhe Hamad Rashid Zanzibar achukua Fomu ya Kugombea Urais kwa tiketi ya Chama cha ADC.

