ADC YAJIVUNIA HAMAD RASHID MOHAMMED KUGOMBEA URAIS 2015
CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimempongeza Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed kwa kuonesha nia ya kugombea urais kwa chama hicho. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama hicho, Said Miraji, alisema wamepokea kauli ya Mbunge huyo kwa furaha na watampa ushirikiano wote katika kuhakikisha kuwa ADC inafanya vizuri. Miraji, alisema Hamad ana uwezo mkubwa ikiwa ni pamoja na kuwahi kushika nyadhifa mbalimbali katika serikali, hivyo...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
ADC yajivunia Hamad Rashid kugombea urais
CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimempongeza Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed kwa kuonesha nia ya kugombea urais kwa chama hicho. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar...
9 years ago
VijimamboMH. HAMAD RASHID AFUNGUA KAMPENI ZA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CHAMA CHA ADC KISIWANI PEMBA
10 years ago
VijimamboMhe Hamad Rashid Zanzibar achukua Fomu ya Kugombea Urais kwa tiketi ya Chama cha ADC.
9 years ago
MichuziMh. Hamad Rashid afungua kampeni za urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC kisiwani pemba
10 years ago
Habarileo09 Sep
Hamad Rashid kugombea urais Zanzibar
MBUNGE wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF) ametangaza kugombea urais wa Zanzibar huku akimtuhumu na kumkosoa Katibu Mkuu wa chama chake, Seif Sharif Hamad.
9 years ago
VijimamboMGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CHAMA CHA ADC, MH. HAMAD RASHID ACHUKUA FOMU ZEC
11 years ago
Mwananchi02 May
Hamad Rashid: Nitagombea urais 2015
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Miraj, Hamad Rashid wavurugana ADC
10 years ago
Mwananchi25 Aug
ADC wapongeza uamuzi wa Hamad Rashid