Loga, Matola wavurugana Dar
![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2NSQ31R3mdfL4DBLVwGqXe9MAm8rHsn8MrREEV0OjpokvY5wsCO1loMi7nkH8351FLCP9hEQbH3eJBBeAMANcnj/loga.jpg?width=650)
Kocha mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Sweetbert Lukonge na Phillip Nkini MAKOCHA wa Simba, Zdravko MAKOCHA wa Simba, Zdravko Logarusic na Selemani Matola, juzi Jumamosi walizozana nusura wakunjane uwanjani baada ya kushindwa kuelewana, kila mmoja akitaka lake. Logarusic ambaye ni bosi wa benchi la ufundi, wasaidizi wake Matola na Iddi Pazi waliingia kwenye mgogoro huo wa aina yake uliosababishwa na mtoto wa Pazi, Zahoro...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMatola akabidhiwa mikoba ya Loga Simba
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
CCM Ilala wavurugana
MGOGORO umezuka miongoni mwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Upanga Magharibi jijini Dar es Salaam kwa kile kilichoelezwa mmoja wa wagombea wa Serikali ya Mtaa anayedaiwa kukingiwa...
10 years ago
Tanzania Daima03 Nov
CCM Kihangaiko wavurugana
MCHAKATO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumpata mgombea uenyekiti wa Kijiji cha Kihangaiko Tarafa ya Msata wilayani Bagamoyo, Pwani, mwishoni mwa wiki umeingia dosari baada ya wajumbe kunusurika kuzichapa hadharani...
10 years ago
Habarileo30 Mar
Wabunge wavurugana Mahakama ya Kadhi
BAADA ya kutokea kutoelewana miongoni mwa wabunge juu ya marekebisho ya muswada wa sheria inayoruhusu kuundwa kwa Mahakama ya Kadhi, Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema kuna haja ya Serikali kutafakari upya kuhusu suala hilo kabla ya kuliwasilisha bungeni.
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Miraj, Hamad Rashid wavurugana ADC
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Tanzania Kwanza Nje wavurugana hadharani
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Matola ajiuzulu ukocha Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox4LTkjAhfmIn0-*M1V8hWF9CWWuwKV-DLh7j8FKflEQk0WmEFVC8MTcdUw9OOTJ2eQgy0RMnUwUvnCMkjgt-1pi/matola.jpg?width=650)
Matola Kocha Mkuu Simba
11 years ago
GPLSOKO MATOLA JIJINI MBEYA